jamani nmeokoka nusu nitapeliwe sasahivi ila nmemshtukia nmeomba wakala wa mbezi mwisho anasema sikuhiz hamna wakala nikashtuka😭🤷,ilibaki kidg
2026-09-23 11:24:41
1
Queen songea👑 :
mm naitk
2026-09-02 23:12:51
1
🦋Princess kim 👑 :
Naomba namba zako hii unasema uPo sijui mkoani
2026-08-15 12:08:21
1
Nicky💖💖 :
nahitaji mafuta nipo mwanza
2026-08-18 14:59:07
1
Smile Cassie😘😊 :
Tabora
2026-09-02 20:09:01
1
~♤raffy👑♧ :
kweli nishaiona hiyo akaunti
2026-05-11 11:46:23
7
shaa reez :
ntk mm
2026-09-23 14:23:33
1
user6609138239614 :
naitaji mafuta
2026-07-20 08:32:38
2
Sasha 04 :
wakwanza mimi nimetapeliwa
2026-09-30 12:43:46
0
Royal scents by ruky :
I want to buy
2026-09-23 13:35:06
0
debbiegal25 :
Mmoja wapo mm bado kdg tu nitapeliwe 😏
2026-09-28 16:00:15
0
Gracious Maboko :
uwiiih 🙌🏽🙌🏽 nilikuwa napigwa kirahs leo coz Kuna siku tushachat ukaniambia upo Dodoma leo nataka kuchukua bidhaa nikamwambia namtuma mtu hapo dukani kwako gafla ananiambia yupo Tanga
2026-09-30 22:40:18
0
Fauzia Hassan :
dada mm naitaji
2026-07-24 04:00:06
0
To see more videos from user @eymernaturalproduct, please go to the Tikwm
homepage.