@gideonimethew: Hakuna mtu amewahi nivumilia katika maisha yangu ya utukutu kama Mama Gideon 🥹 hakuna kitu kibaya sana kama vifungo vya dhambi, ukitaka kukwepa minyororo ya dhambi ni kumpa Yesu maisha yako ndugu #Mama #Shuhuda #mirerani #HabarNjema #Injili

Gideoni Mathew
Gideoni Mathew
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 11:43:59 GMT
14093
980
51
16

Music

Download

Comments

neemakawogo27
Neema K :
Tunaopenda injili ya huyu mtumishi like hapa.
2026-05-12 18:18:15
9
user881810092461
user881810092461 :
sahhhi mtumishi
2026-06-12 19:28:53
1
esther.kalinga6
Esther Kalinga :
Mungu ni Mkuu
2026-05-15 05:47:09
1
hildalymo
Hilda lymo :
hallelujah hallelujah, MUNGU yumwema❤️
2026-05-11 19:48:59
3
user616806981038
christian :
Amen Mungu ni mwema Hakika Yesu yupo
2026-05-13 11:59:49
3
wilysimuliz
WILYs COMEDY :
umechukua uamuzi mzuri sana kumfuata yasu
2026-05-13 07:39:17
3
mama_odm
mamake :
mungu ni mwema kwakila kitu
2026-05-11 18:16:25
3
sony_.outfit
SONY_ OUTFIT :
me nakuelewa sana broo nilishawai kupitia iyo kitu ila namshukulu MUNGU sana amina sana kaka
2026-05-15 19:57:06
1
tajiridavidlanda6
Pastor. DAVID D LANDA :
Mungu akubariki Gidioni
2026-05-31 13:55:17
0
dynesjoseph
jjmsdjm.90 :
yaani duniani upendo wa Mungu na mama ni vitu muhimu sanaaa...yaani nimekusikiliza mpaka nimelia....nimemkumbuka mama angu sanaaaa
2026-05-12 07:51:55
5
sarbie.store
Sarbie.store :
Mungu ashukuriwe kaka🙏🏿
2026-05-11 17:34:14
3
renymoney
Reny Money :
mutumishiii naomba tuongee hakika
2026-05-11 12:11:52
4
felista.felix8
Felista Felix :
Mungu ni mwema kwa Kila mtu
2026-05-11 14:03:30
3
oficioalesther
estherphilimoni6 :
Mama ni mwenye upendo uvumilivu
2026-05-11 13:13:55
3
sam.tz197
Sam Tz :
DEAR MAMA💖💖
2026-05-11 20:10:28
2
victoriakilatu1
Rose miss you 8🇹🇿-🇦🇪 :
ameni amen
2026-05-11 12:27:37
2
user2435157610722
user2435157610722 :
amen
2026-05-15 17:36:58
1
user7051767712018
samiya :
Ameen mungu ambariki mama mkwe wangu🙏🏻♥️
2026-05-11 21:22:21
2
pachinaa1
Pachinaa :
kwa sisi tuliokuwa tunakuona tukiwa tunakua tunaelewa unaongea nini Mungu amekubadilisha sana kakaangu maombi yangu usirudi hukoo maana mi nilikuwa nakuogopa nikikuona hata njiani😂
2026-05-13 14:42:35
1
lopezjenipher
lopezjenipher :
Nlikuona ukiubiri kwenye gari na ukasema am fully sihitaji sadaka wala chochote nahitaji usikilize tuu neno la kristo aisee Mungu akubariki sanah
2026-06-03 18:50:47
1
reubenmngulwi
Reuby@mngulwi :
POLE SANA
2026-05-16 07:28:03
1
lukio.roy
@luchi 🇹🇿 :
sasa kaka mbona ulisema Mama ako alikuwa anatamani sana uwokoke na ulikuja kuokoka wakati amefariki au mimi ndosikuelewa ile video yako
2026-05-13 17:34:48
0
user6184700022849
Eddÿ Cømme lãva :
ulikuwa unaingiya pilisi unakuwa umefanya nini ?
2026-05-11 22:00:59
0
mr.green770
Anonymous.. Mtumishi.. :
hakika, siri ni Yesu sio kujificha kwenye kivuli cha Dini.... na nimegundua kuwa dini zinakengeusha sana watu.....
2026-05-13 06:08:26
2
dopro907
dopro907 :
🥰🥰🥰
2026-05-12 21:02:20
1
To see more videos from user @gideonimethew, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About