@ghazal.tv1: 🌿 We kiumbe mbele ya Mola wako sio msafi, basi jitahidi kufanya matendo mema kabla muda haujaisha. Dunia ni ya kupita, lakini amali njema ndizo zitakazobaki mbele ya Allah. 🤲 Usidanganyike na maisha haya, tubu, sali, saidia wengine na muombe Allah mwisho mwema. ❤️ “Leo bado una nafasi ya kubadilika na kumrudia Mola wako.” #SheikhMselemAlly #Mawaidha #IslamicReminder #Tubu #MatendoMema