@streetjournalisti: ⚠️ (NI UZITO WA TANI 150 NA SIO UZITO WA MITA 150 🙏) Huyu ndiye mnyama mkubwa zaidi duniani, lakini cha kushangaza si ukubwa wake pekee bali namna anavyomlea mtoto wake chini ya maji. Mama nyangumi humnyonyesha mwanae kwa “kupuliza” maziwa yenye mafuta mengi moja kwa moja mdomoni kwa sababu haiwezekani kunyonya kawaida baharini Kama ilivyo kwa Binadamu. Maziwa hayo huwa ni mazito kama Cream/Dawa ya Meno ili yasichanganyike haraka na maji ya bahari, na humsaidia mtoto kuongeza zaidi ya kilo 50 kwa siku. Licha ya uzito wake mkubwa unaofikia zaidi ya tani 150, nyangumi huishi kwa kula viumbe wadogo sana baharini na huwasiliana kwa sauti zinazoweza kusikika mamia ya kilomita chini ya maji. 🌊🔥 #StreetFacts #inashangaza

Adili Costantino
Adili Costantino
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 13:10:19 GMT
2993757
97842
812
3948

Music

Download

Comments

nasri95991
🦋Tina🥰🦋 :
Muache mungu aitwe mungu kwl 🙏
2026-05-11 17:32:47
1302
user5x4w470ozs
user5x4w470ozs :
Uumbaji wa mwenyezi MUNGU utukuzwe milele na utukufu wake unaishi daima 🥰🙏
2026-05-11 20:44:05
1325
kefin9187
@Kefin :
ati 150 m weight hiyo ni Nini
2026-05-12 20:49:53
106
douglaswekesa445
Douglasiuma@221 :
Ati uzito ni metre 150, how can uzito ikuwe metre
2026-07-04 14:21:28
28
james.teminao
James teminao :
kwakweli Mungu ni mkubwa sana
2026-05-12 03:42:57
273
kambalekalemo06
garçon fidel :
camera manu hua ali kaa wapi ?
2026-05-11 18:34:03
76
user7885293288146
Dianah Didi🥰💞🧚‍♂️ :
Camera man alikuwa wapi sasa
2026-05-25 18:25:25
25
esther20.17
estherJ🌹🌺 :
mungu wa ajabu sana 🙏
2026-05-11 17:35:32
128
gods.favourite631
God's Favourite :
Kwa kweli Mungu ni muumbaji.
2026-05-14 14:15:14
27
spicy_ryana01
FLORYANA. :
Mungu unastahili Heshima, Sifa na Utukufu🙌🏾
2026-05-13 12:42:55
70
user43039791361807
mwakinyara :
hakika matendo ya Mungu ni makuu mno!
2026-05-31 15:39:48
13
pendowegesa
love :
hakuna fundi kama M/Mungu jamani mungu fundi
2026-06-06 11:19:16
16
holidaytripstz
HOLIDAY TRIPS TANZANIA :
God is Powerful 🥰
2026-05-12 12:46:29
23
queeniyah.1
delicious :
Sifa zote zende kwa Allah tuseme ameen 🙏
2026-05-12 19:24:15
45
setco_mobilestores
setco_mobilestores :
Hakika Mungu ni waajabu sana jaman 🙌🏾
2026-05-12 05:19:57
37
cutegenius118
C.Mboya 🦋😚 :
Uzuri wa MUNGU🙏
2026-05-13 09:01:24
9
franciscah28gmail.com
Franciscahmakau :
mungu ni wa maajabu
2026-05-13 10:41:51
11
lynn.daniels5
Lynn Daniel's :
Muache Mungu aitwe Mungu milele
2026-06-23 18:34:06
7
rebeccabayyo_
Rebecca bayyo :
Mungu ni wa ajabu hakika atukuzwe
2026-05-12 22:14:22
21
teosinofea
Moma Boyz 🩵 :
Ukuu wa Mungu 🙌🏽
2026-05-12 07:16:49
31
monicabenson96
BLESSED :
mungu ni mungu🥰
2026-05-15 19:06:32
7
daughter.of.zion8246
Daughter of zion :
God is wonderful
2026-05-12 09:26:08
23
muyisakahulafils
muyisakahulafils :
kazi ya mikono ya mungu🙏
2026-05-12 12:58:57
16
thomaspop12
Thomas Pop912 :
jamani mungu ni fudi jamani
2026-05-12 08:24:23
38
grace.sur.grace41
Grace sur Grace :
Mungu mukuu sana
2026-05-12 07:13:15
16
To see more videos from user @streetjournalisti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About