@home.clinic6: Usifikirie nguvu zako za kiume zimeenda wapi... Kwa asilimia 90 mchawi ni wewe mwenyewe. Sio hivyo tu... Ukila sana vyakula hivyo utapata magonjwa kama Constipation, bawasiri, presha na baada ya miaka mingi utapata kisukari type II, na presha. Magonjwa yote hayo ni adui wa nguvu za kiume.