@mbogonize_0027: Kuchoka hapatufanyi tuache kuendelea kutafuta

MBOGONIZE 27 🥶
MBOGONIZE 27 🥶
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 15:08:56 GMT
68410
3347
77
27

Music

Download

Comments

eliasaphmagambo
MGVIC 13 :
mwanangu unaishi maisha kama yangu 🤣🤣🤣 dhaaaa it's our life to all fighters onedy yes 🙂‍↕️....🙏🙏🙏
2026-05-28 21:50:01
2
majabill0
majabill0 :
Nakupenda buree Jaman wew mkaka 🥰🥰🥰🥰 kama hutojali naomba your 📞 call ☎️
2026-06-08 09:28:33
2
mosekhalifa
mosekhalifa ♒️🧿 :
umezingua hapo ulipo kula chips
2026-05-12 18:45:32
5
musakasanzu7
KASANZU :
respect brother hayo ndo maisha ya mpambanaj🙌🙌
2026-05-29 20:58:18
1
44binhamad
بن حماد :
mwanangu we smart sana unatandika kitanda😄
2026-05-11 17:46:58
7
chriss_vibes01
Chriss :
Maisha yangu kabisa hayoo
2026-05-23 11:07:50
1
kivulugo_
kivulugo_ :
hiyo juice ni ya mwaka mzima mamae😂
2026-05-12 14:56:02
1
nasmajuma29
nasmajuma562 :
Mungu ni mwema katika maisha yetu🙏🙏🙏
2026-05-14 17:01:02
2
innocent.lekule
Innocent Lekule :
hiyo ni juice ama wine🤣 kama ni wine wacha niikujie
2026-05-14 21:05:24
2
hnpande
Ibn_ñâssor`🇹🇿❤️‍🩹 :
wakishua hawezi tuelewa
2026-05-12 17:59:51
1
menejamuuh
muzbarg :
Maisha y msela sio👀💪
2026-05-14 19:49:33
1
mrcastory
bosot jr :
umetsha kama Mimi vile
2026-05-12 05:40:25
1
fatushsahil
fa2xhii :
me nimeshakupenda tayali mungu moyo tulia maan🫣 napenda boy wembamba
2026-05-14 17:01:05
2
brianmuro507
BRIAN MURO :
life langu kabisa asee🤗🫂
2026-05-11 17:25:59
3
aguero.mustapher
AnafTz :
bless
2026-05-14 13:11:46
1
lil28852
Lil dam’son :
Kabisa 💪
2026-05-13 17:11:23
1
jopamastore
Josué Bags 🛍️ Dodoma :
kasoro sisi watatu
2026-05-11 15:33:22
0
shomy_keed
shomy keed :
Real Life Fam✌✌✌🔥🔥🔥
2026-05-11 15:31:23
1
shaibuhassan224
shaibu :
mwanang nimekubal najiona kabisa Yan
2026-05-11 23:53:14
1
youngdarlengo
Aucho Vitonga :
unyama
2026-05-14 16:25:21
1
.mbambaog
S² mbamba :
real life without filter ✊✊
2026-05-12 13:31:15
1
ismail.chinengu4
Ismail Chinengu :
Mim Nakunywa usiku nikabakiza Pepsi
2026-05-12 07:54:51
1
japhtgeorge32
J - Grg :
usiku unakula chips unakunywa milinda halafu unalala hiyo sukari unafikiri inaenda wapi oya
2026-05-12 08:24:51
1
renstonner.offcer8
Renstonner Offcer :
maishaa ya kwel mwanangu umegusa mule mule mwangu.. apo umekosa shada na sigara zako kazaaa✌✌✌✌
2026-05-20 16:43:00
1
To see more videos from user @mbogonize_0027, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About