@mzeewamastory: Tazama kabila ambalo haliachi asili yao ❤️🔥 Tanzania ina makabila mengi sana yenye tamaduni zinazovutia kweli. Tazama video hii ujionee uzuri wa asili na utamaduni wao 👏✨#TanzaniaTikTok #KenyaTikTok #SweetLove #TrendingVideo #viraltiktok

mzee_wa_mastory
mzee_wa_mastory
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 15:20:31 GMT
318098
10746
54
115

Music

Download

Comments

wayance_
Wayne :
Ayo ndo maisha Mazul kuliko ya saivi
2026-05-12 19:31:42
21
mzeewamastory
mzee_wa_mastory :
hili ni kabila linaloitwa Wabende ❤️🔥 Kutoka Katavi ndani ndani kabisa. Bado wanaishi maisha ya asili na utamaduni wao wa kuvutia sana
2026-05-12 08:46:39
25
azizmssa
Azizi Ki :
Nyumba ya Chief goodlove☺️%!?
2026-05-12 05:19:38
12
nusha.bts
Nusha 💋 :
Sasa ulikuwepooo
2026-05-13 18:34:53
5
lapulga.mendez
Lapulga Mendez :
hakuna mweny kitambi hata mmoja, hayo maisha 2tayamiss sana
2026-05-15 08:00:07
11
user4007298449952
user4007298449952 :
nchi gani kwani hii jamii
2026-05-28 16:53:19
2
jaliluisack
Jalilu Isack :
NAPENDA
2026-06-15 20:57:05
0
cutyledy8
cutyledy :
sasa mimi kibonge apo ningepitaje asante mungu kwa kunieka hapa nilipo
2026-05-13 19:24:13
3
safari.delphin
Safari Delphin :
kiekiekie
2026-05-31 19:57:43
0
user9427141742869
lehema :
yoooooh
2026-06-02 16:39:44
0
rukia.mnzava
rukia mnzava :
mashallah
2026-06-09 06:47:58
1
user42323595661605
Patrick @gmail com :
Mungu wangu 🇨🇩
2026-05-12 20:32:38
0
kongotijr
sharikh :
mbn km vchaaa 🤣🤣🤣🤣
2026-05-13 16:43:11
1
moni.paulo
mr Moonni :
mzee kabila gani hao
2026-05-11 15:31:32
3
allybushiri798
Dr. Bushiri :
Ila wew acha uwongo jmn
2026-05-12 16:52:34
1
christina.laurent16
Christina Laurent :
asazakwao zikoajee😳
2026-05-11 19:32:08
2
user70704495874035
stefania :
una uwakika😳
2026-05-12 13:13:17
1
maryfredy058
maryfredy :
mh m kumb bdo kun maisha haya
2026-05-11 21:15:21
1
omombalya
OMOMBALYA :
kwani hawa kabila gani na wapo nchi gani? mana maneno mengi comment haujibu
2026-06-11 14:04:38
0
altiwany98
Altiwany :
naweza kupata mke hapa?
2026-06-06 07:18:46
0
esther63401
Esther 🥰🥰 :
wanaongea kwa luga gani kule?
2026-06-03 19:09:28
0
adamujuma225
Adamu Juma :
hahaha😂😂😂😂😂
2026-06-08 15:05:41
0
deborahlinah2
dedeh Tz :
kumbe hata me naweza kutengeneza kabila langu
2026-06-25 09:56:04
1
user5662110608718
Amanizo63 :
kabila gani ilo
2026-06-05 20:14:18
0
To see more videos from user @mzeewamastory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About