@malongwe_gallery: 😂😂😂 #mwangaza💡 #jifunzekitu #tiktoktanzania🇹🇿 #JANAnaLEO

MALONGWE GALLERY
MALONGWE GALLERY
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 15:33:10 GMT
1096587
37150
1202
8061

Music

Download

Comments

william_mateko
MATEKO :
1.Najua umeangalia 2.Umecheka🤣🤣🤣 3.Umekuja kwenye comment 4.Umeona comment yangu 5.Aya like sasa..🥰
2026-05-12 08:48:20
1041
veemoney.veemoney
Vicky🔥manota's :
si harmonize na kajara
2026-05-12 06:49:35
724
flexwithhauwer
hauwer🍎 :
mie akiview tuu status ndio tumerudiana😂
2026-05-12 10:18:10
224
my_farry
♍️ 🦋 :
Kujiendekeza Tu
2026-05-12 10:50:29
81
neema.mbaga97
NEY THE BOSS :
Hassan wangu hasa Akinipa Hela 😅😅
2026-05-12 05:04:03
124
shannyjohn1
shanny :
aa wap labda tu ujapata replacement moja iv swafi🥰🥰
2026-05-12 10:50:51
61
kim.aishery
gal alone🥰🥰 :
mm wangu hadi kaoa lkn mmmh kila muda simu jmn 😁😁😁😁
2026-05-12 12:35:35
53
am_rothiee
am_rothiee 🦋🌹 :
Kheee 😂😂msiniambie huyu Ndo wangu😂😂😂miaka 8 ss block unblock nachoka mm😂😂😂😂😂😂🙌
2026-05-12 11:58:22
63
businessempiretz
BUSINESS EMPIRE TZ :
Mapenzi ya kitoto hayo 😎
2026-05-12 07:02:44
51
binmichael0
Leocardia :
Benny wangu huyo
2026-05-12 04:33:09
22
glowwithlucita2
glowwithlucita2 :
Eee mungu niondoleee hilo pepo
2026-05-12 08:18:20
30
bossbebe120
boss lady❤️ :
sio kwa uyu wangu ambayeee hakunaaa ambayeee hajuiii mwilii wakee🥺
2026-05-12 12:22:34
21
phetiddy
phety ❤️❤️ :
daah mm tumeachana ila bado nampenda sana ila yeye Hana mda kabisa ata akiniona hashituki ila mm ndo naumia sana tu
2026-05-13 18:25:58
7
matwajo7
baby Q :
huy ni mimi kabsa
2026-05-12 10:55:42
16
user14396147720691
rozalia :
jaman mbn kama inanihuzi iyo yani kama mnanisema mimi yani 🤣
2026-05-12 12:03:22
6
helmus451
Mi dollar💵 :
Huu ni mm na Muha wangu😩🤣🤣🤣🙌tunapenda kujiamulia mambo 🤣🤣🙌
2026-05-12 08:57:31
5
i.am.samia4
I am Samia :
mimi akituma message akiandika ma mtu jamani nimekwisha😂😂😂
2026-05-12 12:05:52
8
lucyalex32
Miss__LUCY 💍😍 :
Mimi na jambazi langu sasa🤣🤣🤣
2026-05-12 07:52:26
13
therry93
teddy :
Ndio hali niliyonayo kwa sasa
2026-05-12 09:15:51
7
dada_jojo0606
isjoec🌹 :
situation yangu kbsa sahv 😂
2026-05-12 10:49:47
6
janecah6
user7257446761120 :
km Mimi na pesa hatuwezi kuachana nikimuacha bas yey atanitafuta I love pesa 🥰🥰🤣🤣
2026-05-12 13:04:33
6
mariam.sylvanus
Mariam Sylvanus :
mimi na mtu fudenge yaani 😂😂😂😂ila mapenzi 😂😂nikiwaambia mtanidharau sana wanetu.
2026-05-12 06:52:17
27
neema.lemayan3
Ney10305 :
Mmmmh group O+ gather hear maana sis uwiiii 👋👋👋
2026-05-12 16:14:52
5
shaibu_ys
shaibu_ys :
Na mimi nina ushuhuda 🤦‍♂️😁 i knew her 2018, we started to date 2019 till now 2026 ila sasa hapo katikati ni upsides and downs 🙌
2026-05-12 16:49:15
11
given.swai
Miss swai🦋 :
Mbaba wangu huyo😂
2026-05-12 05:57:06
16
To see more videos from user @malongwe_gallery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About