@mtembezi_wa_bongo: MPENZI WAKO ULIWEZA KUMSUBRI KWA MDA GANI🥰😍

Mtembezi_wa_Bongo🇹🇿
Mtembezi_wa_Bongo🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 18:16:02 GMT
550516
29375
338
1569

Music

Download

Comments

kim26nanah
kim nanah♒️ :
nyie jux alikuwa anaimba nyie
2026-05-13 18:33:02
92
lingtoneo6
living06 :
Unajua jux n msanii mzur sana ila sikuiz amepoteza mziki wake yan ladha ya mziki wake umepotea nasikitika kwa hilo
2026-05-14 09:04:11
121
user459779838
hawaa Tunje :
Nitasubiri
2026-05-14 05:20:27
0
beth86980
Lizbeth💋cute🦋 :
yeye mwenyewe hakumsubiri mimi ni nani
2026-05-13 18:56:18
107
luckywizzy25
Lucky✨ :
Nimekutana comment ya mpenz wang kachoka kusubiri😁😁😁🙌🙌
2026-05-13 21:09:26
16
ms.fidah5
ms fidah :
Toa kwanza maic nataka nilie 🥲
2026-05-14 11:23:31
19
suulove296
Sweety🦋❤️ :
10/10 nalipa
2026-05-13 19:11:56
5
angelcuute4
Angel cute 🌸 :
Mwenye tupo singl hizi nyimbo zinatuumiza 🥺
2026-05-13 17:43:44
28
fettimziwanda0
cash madam :
milimsubilo miaka 3,lkn yy alishndea kunisubili kwa miez
2026-06-24 07:09:20
2
rebbyoutffis
rebby outfits :
nipate uyoo mpenzii sasa😅
2026-05-13 18:15:02
16
official_prince_jaymeh
Prince jaymeh :
9\9....njo
2026-05-15 21:48:51
2
erick.joseph72
Ricky master :
Mpaka sasa nime timiza miaka 4 bado nasubili daah 😰😰😰😰
2026-05-14 06:37:45
10
2x..davis
2X©Davis :
nmesubiri sana adi imefika saa Saba usiku nmechoka pia😂😂😂
2026-05-13 21:58:39
6
mariyarah8
Mariyarah :
mayatima wa mapenz tunasema nn tunasubir pesa ..kilichobaki ni kutafta ela tyu
2026-05-14 11:11:06
7
martha.charles93
it's Martha 🦋 :
nilikuwa naimbiwa hii nyimbo kwenye cm nalia halaf sas hiv hata Salam hakuna so sad 😭
2026-05-15 12:59:11
10
officialm191
Mira 🫦 :
Sina wa kunisubir wala wa kumsubirii🥺
2026-05-14 10:29:44
6
rehemajohn345
daddy's princess 👌🦋😘 :
namsbr Kila siku ila Sina huyo mpenz 😂😂😂
2026-05-12 07:16:00
6
lolkidoty
Lol🥰kidoty :
mmh
2026-05-15 13:11:19
0
vivadecute
viva de cute🦋 :
emagin bby wang kantumia hii😫😫
2026-05-15 04:59:03
1
mrs.zungu89
Mrs zungu 🫂😘 :
kuja nalipa 5/5
2026-05-15 13:07:13
0
dalalirwambo
rwambobrocker :
30 kwa 40
2026-05-16 13:17:25
0
esther49478
esther :
5 years
2026-05-17 09:19:11
0
rayriss_1
Rayriss ~1 :
Me uvumiliv ulishanishind 😎
2026-05-14 10:18:06
3
To see more videos from user @mtembezi_wa_bongo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About