@power_media08: "YUPO MTU NAMPENDA, ANAMILIKIWA NA MTU MWINGINE" - HEMED PHD Maisha halisi: Binafsi yangu naamini katika maisha kuna kundi japo sina uhakika wa ukubwa wake la watu wanaishi na wanawake/wanaume waliowapenda tangu wakiwa katika ujana wa ubarobaro. Lakini kuna kundi lingine la watu wanaoishi na wanaume/wanawake ambao sio waliochipua pamoja katika harakati za kutafuta maisha. Hivyo kundi hili huwa bado wakikutana na marafiki zao wa zamani ata kama awakumbushii kupasha viporo huwa wanatazamana kama kioo na sura ya mtu. Wanatazamana vizuri ikiwa tu awakuachia vidonda na visasi. Sasa hapa Hemed PHD msanii wa kiwanda cha Filamu Tanzania na ni msanii wa muziki anasema "Yupo mtu nampenda na anamilikiwa na mtu mwingine, Na inaniwia vigumu sana ku control hiyo hali. - Kwa sababu, unajua mtu unapompenda huwa unamtakia mema. - Kwa hiyo kama kweli mimi nampenda kwa dhati, sitaki ya kwake yamuaribikie. - Napenda nimuone anafuraha basi nikamwambia mama sawa!!. - You never know! Mimi nimekubali na wala siwaombei wao waachane! Nawaombea heri TU! - LAKINI AKAE AKIJUA HEMED NAMPENDA" MAONI YAKO NI NINI MDAU

Power media
Power media
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 18:37:19 GMT
458480
21987
260
4424

Music

Download

Comments

wadrik.950
wadrik.95 :
waathirika naona mko wengi
2026-08-01 13:56:26
0
neema.antony418
Neema Antony :
mm nampenda baba mkwe😭
2026-07-18 12:37:29
92
tukatelemwakipemb
lettymwaky :
kuna mtu huko juu kasema anampenda ba mkwe wakee😂😂
2026-07-28 13:23:56
30
badwizzy4541
Wizz¥~master :
kumbe tuko wengi kiasi hicho
2026-07-19 22:58:24
74
baraka.kasale
Bless icon💎 :
HII SITUATION INANITESA SANA🤦‍♂️🙌🙌 Mpaka napata depression kujiona sina bahati
2026-07-19 13:17:34
35
baba.sarr68
baba sarr :
kwenye ndo kuna watu wanaishi na wake za watu
2026-07-27 13:48:51
21
j.u.l.i.e_4
julie :
Mbona hauna download 😢
2026-06-23 20:21:38
13
user921854811775
momy 😍 abby ❤️ :
haina download jamn
2026-07-19 13:42:00
5
mwanasaikolojia.m
Mwanasaikolojia & mshauri :
huu ndo upendo wa kweli sasa
2026-07-12 12:06:52
24
mpemba.wise14
Mpemba wise :
mateso hayo tunapitia wengi
2026-07-31 19:04:14
0
sanim177
Hyper :
Sad truth 🥺😔🙌🏽
2026-07-28 18:06:01
1
faridajackson113
farry :
hii ndo naipitia mm inauma nyie acheni tu wallah😩
2026-07-25 12:25:07
10
user74544061763441
user74544061763441 :
kidogo niweke status nikakumbuka namimi tayari namilikiwa namtu mwingine nahuyo mtu alikuwa wamtu mwingine😂
2026-07-28 18:06:09
7
lastt_kng
Funny TV :
Hamtaki shoo kam hii kweny Arenaa 😁😁
2026-07-16 01:22:05
5
saidi.herry6
Saidi herry💔💔💔💔 :
maisha ni kusaidiana
2026-07-02 09:14:44
5
rehema.juma2446
Rehema Juma :
Ndy kaka
2026-07-28 11:58:10
2
debax0209
@debaxkhan09 :
kweri hata mimi yupo anausumbua Sana moyo wangu
2026-07-16 17:50:55
7
dighty328
UNKNOWN⚠️ :
wallah huyuu ni mimi kabisa😭😳
2026-07-29 00:11:33
1
shehaanwary
shehaanwary :
nampenda rafki ake 😄
2026-07-29 06:29:42
1
addy108
addy adax :
najiona mm
2026-07-26 21:22:00
3
asyat295
Asyat :
ilibidi nimuache aende akawe na mwanamke ampendae nilijali furaha yake nikajisacrifice now nishazoea ishi bila yeye cha ajabu anataka kurudi kwangu baada ya miez6
2026-07-29 08:42:27
1
mpembafurniture323
Mutran Pharhan323 :
mim kabisa😎😎😎
2026-07-05 19:33:18
3
abdulymashiku
duly :
huyu n mimi kbsaa
2026-07-28 10:20:18
1
To see more videos from user @power_media08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About