@mozannah: Assalam alaykum guyyss ..Haya leo tupike boga la maziwa 🫶 Ukitaka raha ya hii recipe upate boga lenye unga, Yani lile zuri sana. Mi hili lina maji maji halikuwa na unga 😭 Mahitaji ni -Boga -Maziwa nimetumia pakt 1 (nusu lita) -hiliki -Custard powder 1 tbspn -Sukari & Chumvi Ukianza kupika hakikisha maziwa yapo chini yani yasizidi boga maana asili ya boga huwa inatoa maji so ukizidisha hautopata matokeo mazuri🩷 Thank you guyysss. Usiache kulike , Comment & share🫶 #swahilifood #viral #cooking #food

The homemade cook🧑🏼‍🍳
The homemade cook🧑🏼‍🍳
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 18:38:46 GMT
67194
1737
30
176

Music

Download

Comments

mariamhussein580
❤️🌹-Mariam-🌹❤️ :
mashallah,, Yammy.
2026-06-23 09:59:17
0
anisa.hassan78
Anisa Awadh :
Beautiful I love your cooking Masha Allah nakuja huko 😅
2026-06-17 09:19:15
2
mama_kld
Barke mtika :
Mm huwa sipendi boga ila kwa hilo ningekuwa
2026-07-03 14:25:03
0
mc569398
mc :
napenda sana boga😋
2026-06-29 17:58:47
0
zeyana823
Cutee Zey :
mashaallah🥰
2026-05-18 15:04:27
0
mamydyda2
warda silima :
mashaallah k2 chng pendwa🥰😂
2026-06-02 19:59:19
0
aisharamadhan963
ushy :
nimefunga Wacha nifanye iftar mashallah Tabarakallah hbbty
2026-06-15 11:37:26
1
nafyd07
Naj🌸 :
MashaAllah. Nitajaribu maana siliwezi hili boga hua
2026-05-22 11:24:11
0
khanniebaraka8
khanniebaraka8 :
Ngoja ni jaribu hili pishi maana silipendi hata. Labda nitaweza kumeza🤣🤣
2026-05-12 16:55:41
2
amriya_collection
mamaiya_collection :
mtume roho yng
2026-05-19 16:34:40
1
bint.khaled8
bint Khaled :
nalipika sasa hivi wallahi
2026-05-12 15:42:53
0
kautharseif75
Kautharben🦋 :
boraaa umenifundishaaa kwakweli 😋😋😋🤣🤣🤣
2026-05-11 18:46:40
1
mnamna077
momo :
looks delicious 😋
2026-05-11 18:43:29
1
mamag.75
Mama G✨ :
mashaallah
2026-05-12 11:15:23
1
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Mashaallah😋😋😋
2026-05-11 19:19:20
1
khabi385
KHABI :
🥰🥰🥰
2026-06-29 18:16:40
0
To see more videos from user @mozannah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About