@abuyaukur2027: Leo nilifika Hulahula kutoa pole kwa familia zilizoshambuliwa na majambazi waliopora mifugo na kuwaua ngamia sita kwa kuwapiga risasi. Tunalaani vikali kitendo hicho, na tunawahimiza wakaazi wote kuwa na subira huku vyombo vya usalama vikichukua hatua za kuwatafuta na kuwakamata wahalifu hao, kwani mkono wa serikali ni mrefu. Kama tunavyojua, wahalifu hawana kabila, wao hutumika kama chombo cha kugonganisha jamii tofauti. Poleni sana kwa wote walioathiriwa. Nahisi uchungu mkubwa zaidi pamoja nanyi. #hulahula #abuya2027 #ukuryattani #ukur2027 #mbtgovernor
kama kura ni kwa Abuya weka like ukiingia comment sectionโ
2026-05-11 21:08:35
85
jabor :
Mimi mbeleni nilikua mtu wa Rasso lakini imefika mahali nimeona hakuna good leader in MBT county kama ambassador Ukur.
mheshimiwa Ukur your leadership is what we deserve.
Continue with your campaign and also we campaign for you.
Abuya I am health advocate,in fact a clinician who trained in Muranga and did an indepth piloting of telemedicine and insurances ,Marsabit county Health sector currently is Hectic,During your era ,There was low unemployment rates,low moterlity rates and Much developments interms of infrastructure ,I know I will not have time to reach out to you to kindly benchmark Muranga Governor Dr.Irungu Kangata once you attain the seat of which by the grace of God you will.Ain't saying this to lure you but its the fact.#Make MBT county great Agaib๐ฅฐ .Yassin.M.D
2026-05-12 09:37:59
2
kabuu๐ฅฐ๐ฅฐ :
May God continue to bless us with peace,,, Peace is what we deserve and for the leaders,,We ask God to give us a right person who can show us equality without discrimination,,a God fearing man and humble leader... From our mouth to God hears๐๐๐๐and Ambassador Ukur Yattani is my always leader..
2026-05-12 09:07:46
1
Nurdiin 008 :
abuya kuja Nana ๐ฅฐ
2026-05-11 19:48:33
4
lakeman :
Peace Ambassador. Abuya tosha
2026-05-12 14:26:22
1
Safimifo :
balozi , ukur yattaniโฅ๏ธโฅ๏ธโฅ๏ธ
2026-05-18 15:48:04
1
ุฌู ุงู ุนุจุฏุงููู :
may Allah blessing with peace
2026-05-12 07:31:59
1
Abdear010 :
Mungu aturudishie Governor wetu Ukur๐คฒ๐คฒ
2026-05-12 06:46:11
2
CELTIC ACADEMY :
super gavana I.a
2026-05-11 19:37:02
1
Amina Galboran :
You are always a peace maker God bless you. Abuya.
2026-05-12 12:03:01
1
Nelgeemi :
kura kwa ambassador ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-05-12 04:30:53
1
Prince Elvis :
Abuya supa
2026-05-12 04:48:02
2
Maggie Hungary :
The man i respect alot hii kenya...
2026-05-11 20:17:38
1
hassan mohamed :
This raod atubatishi balozi tosha kabisa tuko mbele pamoja ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-05-12 04:36:09
2
Roba Guyo :
Abuya siku zote ๐๐๐
2026-05-11 19:38:27
0
ENGINEER MOHAAN ๐งโ๐๐ฒ :
watu wetu wa marsabit Mzee aingie ofisi saa nne Asubui na mapema ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-05-11 20:06:43
1
Salim Guyo :
tano tena ๐๐๐๐๐
2026-05-15 17:31:47
0
(*_*)The $olo Guy๐ค :
we need you ABUYA,,,,come back home๐ฅฐ
2026-05-15 16:10:43
0
Sir_Law :
ABUYA 4 DEVELOPMENT ๐ด๐งโค๏ธ
2026-06-12 18:23:04
0
KORRETI :
we miss your leadership.Abuya
2026-05-21 07:56:51
0
Mish๐ :
the best leader for marsabit anng๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-05-30 16:09:03
0
cate๐ :
abuya๐ฅฐtuko kw kadi
2026-05-15 19:53:00
0
Royalty๐ซถ :
super gavanaโฅ๏ธ
2026-05-11 20:04:27
0
To see more videos from user @abuyaukur2027, please go to the Tikwm
homepage.