@tricial_beauty_point: Hii ni ZERO PORE CLAY MASK ( MASK YA BLUE ) imetengenezwa na viungo vizuri kama vile AHA,BHA na PHA Mask hii yenye Viungo hivyo kwa pamoja ni nzuri sana kwa ngozi yenye shida zifuatazo; 1. Ngozi ya mafuta 2. Black head 3. White head 4. Vitundu vikubwa (pores) 5. Rough skin Kama una ngozi kavu tafadhali usitumie hii kwani ngozi yako itakauka zaidii📌 Bei; Reja reja ni tsh 25,000/= Jumla ni tsh 18,000/= kuanzia 10 Tupo Mbezi na tuna mawakala hapa dar na mikoani pia WhatsApp/piga 0620 158 104 #maskkioo #zeroporemudmask #tricialtips