Ukweli mchungu🙏 ur blessed brother asante tunaendelea kujifunza
2026-05-12 06:28:35
32
Kamona Kimbala f :
powerful words 🔥🤝
2026-05-23 12:19:00
1
aura_shushu3 :
Sawa kwaheri
2026-05-12 09:44:17
8
maestro Ps Arusha :
bro nikusahihishe kidogo SI kwa Nia mbaya
1.Kwaajil ya scrolling tumepata knowledge hapa unayoitoa
2. discipline ni neno kubwa sana na sjajua ime base kwenye how to manage our time au ku take action
Hapo nimejifunza v3
1.Matumizi ya simu yawe na faida hasa kutengeza ela kupitia smu
2.kutake action baada ya kujifunza
3.ku balance muda wa matumizi ya smu kama nimekosea nisahihishwe 🔥
2026-05-13 19:19:41
9
Suleiman kisuley :
kwel sisi tuna peruzi sana kumbe tuna poteza muda
2026-05-30 15:14:44
1
mumu🌺 :
mbna unanisema live😂
2026-05-12 09:06:16
6
Torati tang :
acha ujuaji
2026-05-31 21:33:41
0
𝒫𝒶𝓅𝒶 𝒯𝓊𝓃𝒹𝑒 :
nisinge scroll nisingekuona
2026-05-12 09:38:57
2
🌸 :
Aya nafuta TikTok guys 🥹
2026-05-12 20:46:55
2
neema :
huu ukweli umeniumaa lakini
2026-05-12 08:57:33
8
monah💫💫 :
sasa huyu .anyways bila ku scroll ninge mwona wapi?😂😂
2026-05-12 18:16:51
1
coolboi :
yeah bro💯
2026-05-12 07:11:06
1
Protofact Micfact :
unazani mm ujumbe Wako ningepata wapili broo kama sio social media
2026-05-12 13:36:38
2
Strait of Hormuz :
unaisema platform unayopitishia ujumbe,ngoja ni ku scroll pia
2026-05-22 02:56:34
0
.ELLY. :
ubarikiwe sana kaka umekuwa ukinifundisha kila leo ubarikiwe
2026-05-12 05:18:50
3
MsAlice :
be blessed bro
2026-05-12 06:04:39
0
king ✨️🪄 :
Assalamualaykum warahmatullah wabarakatuh
2026-05-18 08:20:11
0
Luckman @001.com :
Ahsante san broo
2026-05-20 17:02:02
0
Lucy Msika :
yani hmmm
2026-05-19 12:54:30
0
keyz_97 :
weweee
2026-05-21 18:47:01
0
mama yao :
true
2026-05-12 06:31:38
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.