Madam nime kuelewa lkn sasa vingi vya asili havistawi tena😭😭
2026-05-12 20:35:37
28
Happy namrinda :
Hili jambo nimeliwaza sana sijui nitapata wapi
2026-05-12 16:42:27
24
Julius Munis :
hii post ipost kila cku ili iende mbali zaid
2026-06-28 06:46:55
1
Lab iPhone Repair :
Nashukuru kuna mtu ametengeneza hii video, personally naweza kutafuta kwako, unaongea vitu vya msingi sana
2026-06-02 05:47:32
3
Dickson Assery347 :
Hiikitu sio ya mzaha mzaha
2026-05-12 20:30:25
9
Damkubwa :
Ujumbe umepitia kwako kutoka kwa Mungu huu, amini usiamini 🙏kwakweli mwenyesikio
2026-05-13 09:09:18
17
Baelor-♈️ :
Those who knows KNOWS😎
2026-06-14 10:43:59
2
DeeTritian :
Mwenye sikio Na asikie 🙌🏾
2026-05-13 04:19:59
6
GODFATHER GOODHEART :
GMO nakuelewa unachokisema lakini wameshazichukua kipenzi
2026-05-13 05:23:42
7
ndaluweno haule :
ujumbe umefika, Asante
2026-06-23 11:11:00
1
Chacha 33 :
Ubalikiwe sana Dada yangu kipenzi Mimi nimekuelewa Asante sana Mimi ntalitendea kazi hili jambo Kuna mtu amesema mbegu za asri hazisitawi niuongo Mimi nikipanda ntaposti
2026-06-27 13:51:09
2
mangira :
unasema kweli mwanangu, siku hizi zinapatikana wapi?
2026-05-12 11:22:21
8
Estar yahaya mtundi :
Kweli dada
2026-06-06 08:45:20
1
annethbraysceson :
Asante sana
2026-06-05 12:14:11
1
mr T :
swadakta
2026-06-04 07:36:00
1
smile 🍒Mamu🍒 :
hapo umesemea mama
2026-06-21 21:41:40
1
mamyIfi✨🦋 :
asante kipenzi nikapande kwenye uwanja wangu ameeen
2026-05-26 09:40:24
2
scolaworldwide :
Ashukuriwe Mungu aliyekutumia kusema ujumbe huu🙏 Shukran sana..
2026-05-17 18:41:49
4
Winifrida :
Lina akili Hili 🥰🥰
2026-05-21 07:28:38
1
☆ prime_ damian☆ :
umewaza far away, may God bless you,....
2026-05-14 09:38:39
4
Rahma :
ONY AWAKENED WILL UNDERSTAND THIS MESSAGE
2026-05-21 10:59:48
3
azeezum :
Umenena vyema dada
2026-05-13 13:39:39
2
Tina :
ni kweli dada, lakin tutazipata wapi??
2026-05-12 20:23:20
2
To see more videos from user @dea98586, please go to the Tikwm
homepage.