muache kununua product za bei chee pia mjue ngoz zenu sunscreen n nzur kulind ngoz
2026-11-05 17:49:03
0
Momy Rahoul♥️ :
ya ni kweli dada
2026-10-26 10:55:49
2
chimamaiye :
Mambo ya skin care yana hitaji uelewa watu awapaki vitu sahihi kwa ngozi zao Ila sunscreen ni muhimu kwenye ngozi kitaamu ma Dermatologists wote wana shauri watu walikaa darasani wakafanya utafiti kulingana na ngozi
2026-05-12 11:31:44
86
Reyyan_BeautyTherapy :
Skincare inataka pesa bwana usitegemee kunnua sunscreen ya elf 10000 hlf uwe sawa hyo ni never
2026-05-12 13:07:20
47
Sarah Mbuki :
mimi iliniletea melasma 😅sitaki kusikia
2026-08-06 11:59:47
2
Amena Amenaa :
Mimi nikipaka uson najihis kunawaka moto Kama nimeepaka pili pili🙌
2026-05-12 17:25:16
6
@ummyshatry :
sio kweli Dada ni nzuri sana mm nnatumia ya wx safi kabisa nnaushughuda wanao haribika wanatumia fek sio originally
2026-05-12 20:43:28
20
Rehema mkwawa3 :
Yaan bora hata ww unatuambia kwer mm muhanga nimekua mwekundu chini ya macho mpk nashindwa kuelewa nifanyeje kila mtu anakwambia lake uso mmoja vitu vingiiii
2026-11-04 06:15:36
2
Binti Ngowi :
Mimo nilifubaaa jamiiiii🥺 niganda sitaki ata kukumbuka
2026-05-12 08:42:21
5
hajujutheboss :
Natumia ya sunscreen ya wix Mwaka wa 5 jaman napaka kila siku na niko poa sijawahi kiharibika 😂😂 Inategemea umenunua Og?
2026-05-14 08:44:20
5
Mamie :
Inawashaa kwelii
2026-06-09 10:34:39
1
zuhurakishiba :
mimi natumia la roche posay sunscreen. ni nzuri sana na inanisaidia
2026-05-22 07:17:57
1
Mayah🤍 :
mi rangi yako tu 🙌🙌🙌🤍
2026-06-19 09:31:12
1
rozeycollections :
Mimi natumia facecream usiku then asubuhi napaka toner yangu na sunscreen nakuwa msweet hatari..wauza vipodozi shaurini watu matumizi mazuri ya product zenu
2026-05-13 07:59:07
7
fania :
Mmeshaharibu skin barrier kwa mikorogo alafu mpake sunscreen, tena zile fake maana kupata original nayo sio kila sehemu,lazima uwe sensitive ubabuke..
2026-05-12 18:08:37
7
ASMAA CELIA :
Kweli tena yazeesha
2026-07-30 18:36:12
1
Arielle :
Natumia sunscreen mwaka wa nne huu hajawah nipa shida yoyote kwanza nisipopaka najihisi tofauti
2026-05-15 12:37:46
5
niyonce dimpozy🥰🥰 :
jaman uso wang unawaka moto 😭maloshen aya ata nikijishika uson.mashindwa kutoa ata uchafu machon
2026-10-22 10:14:17
3
raha_makeup :
Tuelekeze Sasa tutumie nini
2026-05-14 09:32:23
3
user8450624061496 :
Mimi hakuna nachopaka usoni Zaid ya mafuta ya vaseline ya cocoa mwilini ila nataka kuanza biashara ya chakula Natafuta cha kupaka uso wangu usiharibike na jua na Moto sijui nitumie nn comments zinanikatisha tamaa
2026-10-25 07:53:29
2
Rose Mathias :
dada mzuri!! tunaomba utupe dawa ya melasma na hypegmentation
2026-07-08 07:47:14
1
user8450624061496 :
na hii glass skin kupaka mwilini Tu ni nzuri au vp usoni ndo naogopa kujaribu chochote
2026-10-25 07:54:25
1
tatukamchape :
kweli kabisa
2026-10-30 07:52:43
1
sawiya :
Yangu nzr bana cyo zote
2026-07-06 04:18:33
1
To see more videos from user @belezaproducts1986, please go to the Tikwm
homepage.