Huyu ndy mtu wa kwanza kunichekesha Asubh hii remmy msogo wangu ubarikiwe sana 😁😁😁
2026-05-12 06:55:59
55
Ms Mgen🇹🇿 :
Serena chips kavu tu 40,000 mtumeee sasa chipsi kuku c kodi yangu ya mwaka🥺
2026-05-12 19:31:24
23
Theophil | Dakika ya Ukweli :
@mama___chanjaog ❤️❤️Watu wengi wanaona mafanikio yako, tabasamu lako na namna unavyong’aa mbele ya dunia, lakini hawajui ni mara ngapi ulipambana kimya kimya usiku huku ukijaribu kutokukata tamaa. Kuna watu walikubeza, walikudharau, walidhani utaishia njiani, lakini bado uliendelea kusimama hata moyo wako ulipochoka. Na hicho ndicho kitu kinachokufanya uwe tofauti; si umaarufu wako, si fedha zako, bali uwezo wako wa kuendelea mbele huku ukiwa umebeba maumivu ambayo watu wengi wasingeweza kuyavumilia. Endelea kung’aa, kwa sababu hujui ni watu wangapi wanaendelea kuishi kwa kupata nguvu kupitia safari yako.🥺🫴