@youngsayeed: Ndugu zangu, tunapanga kuanza street da’wah ya kufikisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa watu barabarani,mitaani na vijijini lakini bado hatujaanza kwa sababu tunahitaji kupata camera na vifaa vya kurekodia. Kama una uwezo, unaweza kutuchangia chochote kidogo au kikubwa ili tuanze kazi hii ya kheri haraka. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’an: ‘Ni nani atakayemkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mzuri ili Ampatie maradufu mara nyingi?’ — Surah Al-Baqarah 2:245 Hii ni nafasi ya sadaka ya kudumu (sadaqah jariyah), malipo yake yanaendelea hata baada ya maisha haya. Mchango unaweza kutumwa kupitia: M-Pesa: 0798063900 Jina: Saidi Hassani Saidi Mwenyezi Mungu akubariki sana, akuongezee riziki na akufungulie milango ya kheri. Ameen #debate #zanzibar #Kenya #Tanzania #ViralfyppppppppppppCreatorsearchinsights 1