@amanifruit1: #🥥🥑🍓🍈🍋🍍🥝🥭🍒🥦🌶 #applekwajumla #amanfruit1

AMAN FRUITS  POINT🍉🍇
AMAN FRUITS POINT🍉🍇
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 12 May 2026 08:45:38 GMT
740507
33177
398
1914

Music

Download

Comments

user1294206157092
Lizzie Borden :
jaman apa ni wapi mbona pazur
2026-05-12 15:49:06
327
mbegutrainertz
Mbegutrainer✅ :
2 diferent vdeos😂
2026-05-12 18:53:54
176
ellie.201110
Ellie :
yakianza kuoza utalia
2026-05-26 12:23:31
20
deborahkalinga1
Deborah kalinga :
waooooh strawberry zinapatikana....na mno maeneo gan
2026-05-12 14:14:47
58
_0837949
𝒍𝒊𝒍𝒊𝒂𝒏_𝒑𝒛 :
mbona sijaona parachichi
2026-05-12 14:27:47
20
hillywilly905
Hilly Willy905 :
naomba kazi jamani Nina customer care nzuri sana utahuta
2026-05-12 17:49:55
5
d7_family
D7 Family :
hii video ni sehemu mbili tofauti yaani ni video 2 tofauti
2026-05-14 10:32:56
11
rebbyree81716
Rebby Tito :
he mkoani yanatumwa au m ndo sijaelewa
2026-05-12 17:25:53
8
ms.mbwambo
RAPHIER✨ :
Kiwi unazo kaka?
2026-05-29 16:37:37
0
happie.dimpo
Happie Dimpo💜 :
unakazana na karibu sana na husemi vinapatikana wap
2026-05-12 16:18:44
11
kajal.rashid
Kajal Rashid :
mahali afya ilipo siokisinia
2026-05-16 17:13:56
3
phyllismaina5
PM2 :
woow smart one
2026-05-31 14:28:23
1
tully0200
Tully0200 :
hii biashara inatia hasara hii acha MUNGU akusimamie
2026-05-13 08:33:16
7
user1881354610612
Leah Ngussa ❤️ :
Mpendwa hapa ni wapii pazur hivi na kama ni karibu niwezee kujaa piah kama ni mbalii hongeraa sanaa kwa kazi nzur Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
2026-06-04 12:06:19
3
magemamiinkya
magemamiinkya725 :
safiii sanaaa pamependezaaa
2026-06-05 13:30:59
1
official_buu7
official_buu :
cku zote ukikosa unachokipenda bc penda ulichonacho na ukipenda unachokifanya daima mafanikio yatakua upande wako
2026-06-03 15:17:13
3
edisonedmin
Edison :
uyo hawez kosa digriii 3 au pHd kama unaamin weka like apa
2026-05-13 12:50:27
10
biashara_na_.miriam
Biashara_na_.miriam :
pazuri kama Bustani ya edeni
2026-05-12 18:51:48
7
pesamlima
Ndama ya Ndama :
pomegranate napata?
2026-05-26 06:49:06
0
ashakidoti_
Ashakidoti ✨️ :
Kazi yako nzuri bro, keep it ❤️
2026-06-04 06:51:48
2
shamzaadams
Shamza Adams :
.umeanza na kibanda ukamalizia supermarket
2026-06-02 07:46:53
2
hidayaabdala357
hidaya abdala :
dooohhh pa ki sure🤣🤣
2026-05-30 19:06:56
2
jerry.pier
Jerry Pier :
apo ongeza na free wifi kwa wateja
2026-05-30 06:42:51
1
peoples335
people's :
hayaozi kweli
2026-05-14 05:09:15
4
www.tiktot.ester
user3814772059394 :
jamanii ni wapiii mbn pazurii ivooo
2026-05-14 18:37:40
3
To see more videos from user @amanifruit1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About