@dw_kiswahili: Ukienda ufukweni lazima utakutana na vijana hao wanaofahamika kama beach boys, kazi yao ni kufundisha watu kuogelea na kuwaonesha vivutio mbalimbali vilivyopo ufukweni. Lakini kuna maoni mseto juu ya utendaji kazi wao. #DWTunavuma #vumakwakishindo #beach #beachvibes #tourism