Chief Director wa hii movie ni SIASA, director of photography PESA, Costume Play SHULE, Music and Sound effects DINI, bila kumsahau Visual effects JOBS. 🫡🫡🫡
2026-05-13 22:04:23
52
Ak 47 :
kuna movie inaitwa MAPENZI ,STARINGI NI MWANAMKE.
2026-05-13 18:13:57
37
patrick :
nimependa masikio yako yanausikivu...
2026-05-25 17:15:53
35
Rich Voice tz :
content ya maana hii
2026-06-07 22:28:57
23
wherever Tz 🫂🦋💙 :
hata hii nayo Ni movie😂 Ila tunashukuru🙏
2026-06-20 16:46:11
16
mjinga wa taifa :
Dah umeongea point
2026-05-14 11:08:30
10
Mr A :
Bro uliwaza nn mpaka kuchambua yote hayo daaaah 🥺
2026-05-13 14:59:43
55
MGAJI JR :
ila broo unamasikio ya kusikia 🔥🔥
2026-05-13 23:50:20
16
interviewee°•° :
we jamaa una ufahamu wa Hali ya juu sana
2026-06-17 13:57:25
13
Falcon£¥$€ :
so genius bro,, you think far away
2026-06-18 16:12:21
7
Rozay_dbk :
Mwamba kuna Movie moja umeisahau inaitwa NDOA
2026-06-19 02:53:35
6
drama-doll🍉 :
wee kaka una akili nyingi sana👊
2026-05-14 03:30:36
16
gregor :
sasa unaangalia movie uku unasoma comment za wakusanyaji😁
2026-06-02 18:34:59
13
renathamsasa :
Sijui nacheka nn nikiwaza kuamka hasubui unasahau ata kumshukuru Mungu unaenda kutafuta makaratasi
2026-06-25 19:33:52
12
Monteey@001 :
uyuu jama akili yake iko na akilii
2026-06-02 11:39:49
6
Ms mauah🇰🇪 🇫🇮🌹💞 :
Hii ni tafakari ya Babu ya kitaifa bro😅🙌🤣🤣
2026-05-15 00:43:27
7
Thereal_siney 💜💫 :
mwanetu una akilii😊
2026-05-13 18:49:21
7
man_leo :
kuna movie inaitwa DINI 😅
2026-05-12 22:04:04
31
OSIRO MUSIC 🎼💫 :
Tulipewa ardhi tulime lakini tulikwepa 🥺
2026-05-13 05:53:03
64
Mlokozi.com :
Facts bro 💯 NOTHING CHANGES IF NOTHING CHANGES
2026-05-13 14:33:33
19
ZAYN MUSIC TZ 🏆 :
akili nyingi huondoa maarifa
2026-05-24 20:35:23
5
To see more videos from user @somahosea46, please go to the Tikwm
homepage.