kwanza aliepitwa ni znazibar 1 au Zanzibar 2 kama 2 basi hatushagai sana
2026-05-13 15:53:30
0
Medy_Boy_01 :
Dragon of the sea🔥🔥🔥
2026-05-17 20:41:31
0
ذليدين ⚓️ :
tuliwaambia hii dragon si lady of zanzibar 💯💯💯💪💪
2026-05-12 20:33:53
3
Suleiman Salum :
saf
2026-05-12 15:18:54
1
Ami Ani16 :
dadekiii hii vita nomaa aseee
2026-05-13 04:53:26
0
Sisu :
9 🙏 8🙏
2026-05-13 11:15:16
2
MUSSTAPHA :
iyo namba 9 sio namba 6
2026-05-12 21:26:02
0
Zenjboy KICHOMO GENERAL TRADER :
akimbizane na Zan 3,kama hajapasuliwa engine Dragon
2026-05-13 09:25:52
0
꧁☬Canalmasoud☬꧂ :
kaachiwa leo bas kabita kwa taaabu
2026-05-13 05:54:37
0
Abubakari :
mbishe msibishe huyu ni dragon hana mpizani ni yeye🥰🥰🥰
2026-05-13 08:12:58
0
Davis Davis :
daadeq mtu analiwa live kabisa 😂😂
2026-05-12 15:31:50
4
ذليدين ⚓️ :
anaruka ruka tu maskini 😂😂😂
2026-05-12 20:34:43
1
Suleiman Salum :
jeur hawa waliipt namb st jan
2026-05-13 04:33:14
1
ramos4tz :
kunoma😁😁😁
2026-05-12 21:23:26
0
Yakoub Ally :
kaachiwa tu huyoo ila asingepita
2026-05-13 12:18:22
0
Ali Kimini :
@Ali Kimini:Hii ndio niliokua naisubiri siku zote
Wao. Znz 1, 2,3 wakituma huruma kipand3 halafu huunganishwa utaona km kapita hawana picha la moja kwa moja
Ali juma hongereni sana endeleeni na makwaju, muwakate 💋💋 waliturufu Ada kina thabit
2026-05-13 21:28:00
0
Bachela :
kumpita usikie 2 au wazee munasemaj
2026-05-13 15:47:54
0
MAMEN🥷 :
bahari kapeti👌
2026-06-11 07:15:00
0
Key=by Marine 🇲🇿 :
👏👏👏
2026-06-11 04:49:27
0
Shekh sharifu Babu :
*TANGAZO LA UCHANGIAJI UJENZI WA MSIKITI*
_Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh_
*Kwa Waislamu wote na watu wote wenye moyo wa ukarimu,*
Tunawatangazia na kuwaomba michango yenu kwa ajili ya _ujenzi wa Msikiti_ uliopo:
📍 _Mahali:_ Donge Kidolee, Njia ya Mungano
📍 _Kiwanja Namba:_ Bloki 126/34
📍 _Mtaa:_ Kidole Donge
Msikiti huu utatumika kama nyumba ya ibada na mahali pa kujifunza kwa jamii yote. Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, ni msaada mkubwa katika kujenga nyumba ya Mungu na kuleta umoja katika jamii yetu.
*Njia ya Kuchangia kupitia Airtel Money:*
💳 _Namba:_ 145096630
👤 _Jina:_ Haidary Mohamed
📱 _Mtandao:_ Airtel
> _"Mfano wa wale wanaoitoa mali yao katika njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje iliyootesha mashina saba, kila shina lina punje mia."_
> — Qur’an 2:261
_Changia ulicho jaaliwa. Hakuna kidogo mbele ya Mungu._
Mungu awalipe wema wote wanao changia, bila kujali dini yao.
_Jazakallahu Khairan / Asante sana
2026-05-13 07:37:51
1
popo :
🥰🥰🥰
2026-05-17 13:14:09
0
To see more videos from user @jumasailor510, please go to the Tikwm
homepage.