@tumaini_pr_tv: Kampuni ya gesi ya Oryx Energies imetangaza rasmi bei mpya za kujaza mitungi ya gesi kwa wateja wake nchini kote. Tangazo hilo limebainisha mabadiliko ya bei kwa mitungi ya ukubwa wa kilo 6 na kilo 15, likilenga kutoa mwongozo kwa wateja wa jumla na wale wa rejareja. Bei ya kujaza mtungi wa kilo 15 sasa ni Tsh 56,000 kwa bei ya jumla, huku bei ya rejareja ikiwa ni Tsh 62,000. Kwa upande wa mtungi mdogo wa kilo 6, wateja wa jumla watapata huduma hiyo kwa Tsh 24,500, huku watumiaji wa rejareja wakitozwa Tsh 27,000. #tumainiprtv #tboyliontz #hapaninyumbanikwawote

Tumaini pr Tv
Tumaini pr Tv
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 12 May 2026 14:23:22 GMT
493570
6188
594
1306

Music

Download

Comments

reqqy6
Reqqy :
na mtwara kuna vita🤔
2026-05-12 16:48:49
209
salome.chikusi6
Salome Chikusi :
tutaacha kupikia ges tutapikia mkaa
2026-05-12 18:28:04
75
kokusima51
kokusima :
Mmh! endelea kupumzika kwa amani rais Magufuri daima tutakukumbuka,
2026-05-12 16:13:43
169
yahsintahsilvest1
yahsintasilvester :
na hazijai😳😳
2026-05-12 16:12:42
32
alphonsi_ngowi
alphonsi_ Ngowi :
tuta endelea kukata miti tuu hamna namna
2026-05-12 16:25:33
65
aneth.christian6
Anne :
na ges inatok tz
2026-05-12 16:11:15
33
scentsbykaluchy
Lee kaluchuy❤️ :
iyo elfu 27 mm Sina 🤣🤣
2026-05-13 08:47:56
13
jamalalambule
BOB JAMA C :
kazi kwenu muliotiki oct 29 tunaisoma wote sasa 🙌
2026-05-13 08:56:11
35
yasir.yandas
Yasir Yandas :
ila tanzania watu wana pita na brands, apo adi bei ya choo ita panda ...kunya 6000 kukojoa 5000
2026-05-13 04:35:04
19
tammie_store
Tammie_Store :
Tanzania si tuna gesi jamani
2026-05-13 10:38:33
7
pendo.hassan7
Pendo Hassan :
mpaka tuseme bado hatujasema
2026-05-12 15:08:29
25
reywesley3
reywesley :
izo bei za wap maana uku jumla ni 25500 rejareja ni 28000
2026-05-12 16:41:27
12
user9295424883961
Angel-:anton :
kama ni kweli nitafurahi san
2026-05-12 16:47:07
6
amospetro183
@mos petro :
hapo bado hata mwaka haujapita mambo yamekuwa magumu hivi je mpaka 2030 itakuwaje tutafka tumechoka san
2026-05-13 11:28:15
11
aishamasue
Ashmam 😍 :
Misitu yetu ndo hazina yetu kuanzia sasa
2026-05-12 18:13:07
12
luckykidee968
Lucky🥰 :
Anaejua yanapouzwa majiko ya solar tulisoma kwenye geography anitag plz😔😓..... wasinichanganye saiz😂
2026-05-12 19:06:16
8
silasthomas705
silasthomas705 :
NA UMEME NAO UNAPANDA SIKU SI NYINGI,,,😩☹️☹️
2026-05-13 04:59:05
5
henam68
Henam :
wanapenda kujiamulia mambo
2026-05-12 16:47:20
11
mchekelea.322
mchekelea :
that look good
2026-05-19 20:39:32
2
rev.zawadielmaruchu
Rev.zawadielmaruchu :
Hakuna mtetezi!!
2026-05-20 09:59:00
2
mimah.omarry
mimah omarry :
boraa nlishajazaa
2026-05-13 14:55:44
0
0755973336king
Ezralyta@Ezramain :
daah iyo bei. siyo ya kweli kwenye iyo 6kg umeongeza 20500 na iyo 15kg umeongeza 1000
2026-05-12 21:17:19
0
dady7973
DADY🎤👈 :
uzuri inapanda Kwa wote 🎤👈
2026-05-18 05:45:29
1
maswi002
Maswi :
Niko na mitungi ya oryx nauza.
2026-05-13 10:20:29
1
miss_me451
it's me❤️‍🩹🔐 :
hii bei ya kupanda ni ya lini sabbu uku kwetu ni 28000, sasa mnanishtua jaman😁😁
2026-05-12 18:44:47
4
To see more videos from user @tumaini_pr_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About