ndugu wa kweli ni yule mwenye upendo TU mnaweza zaliwa mama Mmoja baba mmoja na msipendeane
2026-05-13 05:10:07
212
NishaQA :
Kweli kbs mkizaliwa mama mmoja baba mbal mbali wllah kwa mama mmoja ndo mnashikana kuliko baa mmoja
2026-05-13 05:21:14
61
daughter of jesus :
unaweza kuchangia mama lakini upendo hakuna ili ni kumuomba MUNGU tuu.
2026-05-14 12:56:41
10
Rahma Mushy :
weeeee sio kweli ngoja tu ninyamaze😭😭😭😭
2026-05-13 15:33:24
10
Sara Othman :
jaman hapa hakuzumngumzia upendo..bali kazumzia uhalisia msi note vibaya zembwela
kuhus upendo mnaweza kuzaliwa baba na Mama mmoja na msipendane kwa dhati mkaishi kunafikiana..ukapata upendo kwa mtu baki
2026-05-13 08:12:05
12
Ms.Happy :
Kweli kabisa hiyo imeenda
2026-05-13 04:29:42
7
catherinetuppa :
kabisaaa
2026-05-13 05:55:15
3
Rahma :
kabisa kaka
2026-05-13 05:06:15
2
pretty mom of 2 :
uongo huu sasa,
2026-05-13 10:24:02
4
user77944590238 :
ndg wa kweli ni rafiki
2026-05-14 06:09:35
1
Dotto :
mmh sizan
2026-05-13 08:04:57
3
Wivina Tibuinda :
Siyo kwer
2026-05-13 05:15:15
5
Bably9 :
sio kwl
2026-05-13 10:01:19
2
Husna🌸🌸🇹🇿 :
Kabisaa 😂🤣
2026-05-13 06:11:24
3
anti madam :
kweli kabisa yani tulioshare baba wana roho mbaya SANA japo tunafanana km wachina
2026-05-25 10:01:44
1
sandu G cosmetics 💄 :
😄😄😄me mwenye ndugu wa mama moja na siwaelewi hebu nicheke
2026-05-15 09:59:44
1
Double handed lady 🦋❤️ :
Kabisa 🥰🥰
2026-05-13 06:01:35
3
Wendy Jacobs :
Ndugu ya kweli ni Mwenye upendo
2026-05-13 20:16:44
3
micky :
sio kweli
2026-05-13 14:29:15
1
Mrs babyloon ♥️ :
😭😭😭😭😭 nimelia
2026-05-13 18:07:10
1
cute :
kweli kabisa hii imeenda
2026-05-13 04:59:13
2
user9461588852418 :
sio kweli kabisa
2026-05-13 14:31:12
1
user7575114381767 :
mmh so kwel inategemea tu
2026-05-13 21:47:01
1
Lihna Adrian :
kweli kabisa
2026-05-13 09:36:45
1
Yursal🦋 :
Kweli
2026-05-13 04:29:35
2
To see more videos from user @globalfactstz, please go to the Tikwm
homepage.