@dua96kiba: Comparison nyingine zina hitaji subira kwanza 😅 Bado sana Okello kumfikia CHAMA kwenye creativity ya mwisho ⚽ #ClatousChama #HajiManara #SimbaSC #NBCPremierLeague #MpiraTanzania

Dua96kiba
Dua96kiba
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 12 May 2026 17:06:31 GMT
431047
25582
415
738

Music

Download

Comments

nasha.eli
Nasha Eli :
Manara anamkubali sana chamaa😂😂
2026-05-12 21:23:22
458
victor_carlily
Mr. Nonchalant 🌀 :
Ni kweli me ni shabiki wa yanga lakini ni kosa kubwa kumfananisha legend chama na okello bado mapema sana okello hata kumfananisha na feisal tu haitakiwi ambapo Faisal hafiki hata nusu ya chama for real chama to the world
2026-05-13 06:15:41
188
www.tiktok.majortheanmal
Major the Animal :
Ubongo mkubwa sana huo
2026-05-12 20:07:47
100
manager_weston
David Weston :
Hajawahi hata kuzifunga Simba, Azam wala Singida
2026-05-13 01:03:21
82
ahmadcmpm6h
Ahmad :
sasa huyo Chama si alienda ligi la nje lakini alishindwa au
2026-05-13 08:08:08
12
user.jaymucom
user jaymucom :
Haji manara naomba no ambayo inapokea hela now unajuwa na unajuwa sana ww sio mnafiki
2026-05-12 20:11:30
61
user5216251566023
angel❣️❣️ :
wanamgusa chama wa manara hehehee sawa na mm kuigusa simba
2026-05-12 18:46:45
18
pelavalerian
Pela%%Valeer :
wazee, Manara familia kabisa huyu Simba nguvu Moja 💪💪💪
2026-05-13 03:04:59
39
cathode1222
cathode1222 :
ila manara humwambii kitu kwa chama
2026-05-13 16:27:37
19
franceligomba
fragAh 🍂 :
Kumbe Bugatti unajitambuaa sometimes
2026-05-13 07:00:32
16
sebastiansamwel52
Sebastian Samwel :
huyu Mzee bado Anausimba
2026-05-13 12:22:39
9
priscamlay02
Priscamlay :
Kunywa Pepsi nitalipa😅😂
2026-05-13 13:16:08
6
meshackwiliam65
Meshack Wiliam :
manara ni simba tupu
2026-05-13 06:26:17
8
user734801744561
Razack29 :
unaja hadi unakela😁
2026-05-13 06:55:41
5
mfuse.tx
Mfuse Tx :
wewe ni kweli chama ni namba 10 bora Tanzania ❤️‍🩹
2026-05-13 05:34:56
12
daudy.kihwele
Daudy Kihwele :
komaa weee unapend kujiamlia mambo manalaaa
2026-05-12 20:53:04
9
charles.john689
Charles John :
nimekuelewa
2026-05-12 18:15:17
5
user2546180778179
kiundawale :
haji bado umeniweka kifungoni mimi ni shabiki ako uni unblocked bwana inst🤣🤣🤣🤣
2026-05-13 06:15:22
5
user6495257411667
hilda💞💞💞 :
mkimsikiliza vizuli mtamuelewa
2026-05-12 17:22:07
9
user3982404032158
user3982404032158 :
manar safii
2026-05-13 18:48:20
1
saidmuhomba8
saidmuhomba8 :
we koma 😂
2026-05-13 19:42:54
1
sharifhamis702
Sharif Hamis :
koma ww😅😅😅😅
2026-05-13 19:04:56
2
mohamed.siraji7
Mohamed Siraji :
huyu mwamba simba100% simba Lillian basi tu maisha yanamambo yake
2026-05-18 09:05:56
1
user4244451008403
Mussa Lazalo :
daa!manara hatar
2026-05-16 12:59:23
1
yaxo_boy
yaxo boy :
fact😁
2026-05-13 08:37:05
1
To see more videos from user @dua96kiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About