sijawahi kuelewa ila Leo nimeelewa, maashallah Allah ajaalie maneno yako yawe yenye kuongoza watu...
2026-06-06 20:44:33
4
yusufu vuai :
mashaallah ila sijajua bad ww ni bidaa au vp
2026-06-22 16:10:30
0
Delerez Aly :
Twawasubiri wa raddi hii,,,Mashallah sheikh letu
2026-05-13 12:45:25
1
fatush maha :
Jazakallahu khaira Sheik kwa ufafanuzi inayo eleweka
2026-05-14 11:55:18
1
user78791734302836 :
mashaa Allah tungepata kuelekezwa hivi haingekuwa shida
2026-05-13 19:02:26
1
AL-HAJJ UMARU MWANIKI :
Maa shaa ALLAH
2026-05-14 04:11:28
0
user81938027045756 :
Si mpaka hao kina Delele wakuelewe hawa watu kanzu fupi hata ww ukisema Mungu ni mmoja watakutilia shaka hawataki kuelewa.
Ahsant Shk.Allah akujaze kila lheri.
2026-05-13 20:37:55
2
Mustapha Badibanga Mukatela :
اتق الله يا أستاذ
2026-05-14 15:45:10
0
Isiaka Omari :
huyu lazima mawahabi wamuogope mana sio kwa nondo hizi,huyu , sheikh Muhammad kusoma na sheikh Muhammad alhatimy, ni mwiba mno kwa mawahabi, shukrani sana sheikh Lete muendelezo sasa
2026-05-30 08:15:30
0
Juma Mkopi :
hapa usipo elewa kalale
2026-06-07 06:42:25
0
Amos :
😳😳😳
2026-05-12 21:19:38
0
Mohamed Maro :
🥰
2026-05-15 13:31:25
0
To see more videos from user @jurashcontinuer, please go to the Tikwm
homepage.