Mungu ikikupendeza mtumie jeshi la ulinz nyuma yake 😭😭 hatutaki kuimba parapanda kwa ajir yake jmn
2026-05-13 09:04:55
41
Monica songoro :
Ukweli unauma bwana
2026-05-14 04:05:18
7
nije :
we mzee vip ataondoaje wakat tumesikia
2026-05-13 05:32:35
14
user3055590317202 :
safi sana nimekupenda buree🥰🥰🥰🥰
2026-05-13 14:30:33
12
Ansgala Zakaria :
nasoma comment fupi tu
2026-06-05 16:56:16
1
Veronica Mulu :
hamuna akili kweli😁🥰
2026-05-13 12:18:49
8
shigemelo :
we baba punguza njaa
2026-05-13 16:35:50
9
@hellendeogratius :
Sasa asiseme ukweli
2026-05-13 15:34:23
10
@#.........._# :
ukweli umewauma
2026-05-14 15:19:08
5
A...G :
ila ma CCM siyapendi aisee???
2026-05-20 17:11:05
1
🏆 M.A.L.U.M.E :
kasema ukwel amna akili
2026-05-15 09:21:47
2
Ruth uronu :
dada Mungu akubarika
2026-05-15 07:30:06
2
Janeth Jones🦋🦋 :
Haina hakili
2026-05-17 07:32:58
1
ally Ramadhan :
dada umeonge pwent sana mungu akutangulie upo sahihi sana siyogonjwatu pombe zabeichipu zimeuwa sana wakaakimya kwenyematibabutu nihelanyingi sana nahizohela hazionekani
2026-05-13 14:43:36
6
CHRIS :
Sasa si kasema kweli kwani serikali hii we unaiona iko sawa?
2026-05-15 17:46:00
2
@#.........._# :
Mungu akulinde 💪🙏
2026-05-14 15:20:32
1
kingmarley377 :
dada ameongea point
2026-05-13 15:48:46
5
Muneer🏍 :
Nimekukubali sana my sister ❤️
2026-05-13 07:32:07
5
JIMMY -TRAINER -IRINGA :
lakini ujumbe umefika😂
2026-05-14 12:30:31
3
magrethpaul240 :
Ohoo kazi ipo
2026-05-13 12:13:44
3
chazdepac@111 :
kabisa
2026-05-13 14:05:59
2
Eliawilliam mwita :
Leoleo kazi ipoooooooo
2026-05-13 07:19:05
4
bint palu :
tobaaaaa
2026-05-13 04:33:36
4
To see more videos from user @mzawa90na10, please go to the Tikwm
homepage.