@healthyfity1: Acid reflux imevuruga koo lako, tumbo na mwili kwa ujumla… Na unatamani kurudi kwenye hali yako ya kawaida tena. Koo kuwasha, kitu kukwama kooni, gesi tumboni, kifua kuungua, pumzi kubana, choo kutokuwa sawa, mwili kuchoka 😣 ⚠️ Hizi zote zinaweza kuashiria mfumo wa mmeng’enyo wa chakula umepata usumbufu. Swali ni… Je upo tayari kufuata hatua za kurestore mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula? Hatua muhimu ni kama: 1️⃣ Kuweka sawa na kudhibiti kiwango cha acid tumboni ⚖️ 2️⃣ Kusafisha koo na tumbo ili kupunguza usumbufu 3️⃣ Kurejesha na kuimarisha bacteria wazuri wa mmeng’enyo wa chakula 🦠 4️⃣ Kusaidia valve (LES) ya tumbo kufanya kazi vizuri ili kuzuia acid kurudi juu 🔒 5️⃣ Kurejesha usawa wa mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla 🌿 📩 Kwa ushauri zaidi na mwongozo wa afya ya mfumo wa chakula wasiliana na Dkt. Geaz 📞 #acidraflux #DigestiveHealth

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 12 May 2026 20:14:47 GMT
3986
33
4
8

Music

Download

Comments

user20998817515174
user20998817515174 :
dokta upo wp
2026-05-15 22:14:16
0
sylvie.com17
N🦋🦋 :
Nisadie na mm
2026-05-16 02:47:16
0
claudineshamwanda
CLaudine Shamwanda :
Unaishi wapi
2026-05-13 10:02:36
0
suw1029
suw :
jaman nisaidie
2026-05-18 09:29:21
0
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About