@jumaalone: Wanangu huu ni mchongo wa kweli wa kupiga pesa kwa wale wanangu wote ambao wanaishi ulaya kumbe hii kazi wanaopiga wahindi,wabangaleshi na watu wengine kutoka asia wanapiga pesa kishenzi. Tatizo sisi ngozi nyeusi tunafeli kwasababu ya dharau na majivuno pia na aibu kwamba kwakuwa nafanya kazi hii watu wa africa watanichukiliaje🤣mwisho wa siku unajikuta unafeli kabisa. Kiuhalisia maisha ya ulaya hakuna kudharau kazi ni mwendo wa kupiga kazi. Kazi ambayo unaidharau yule anayefanya anapiga pesa ndefu sana ila machoni mwako unamuona jamaa kama anacheza au anachekesha. Kwenye swala la kutafuta maisha hakunaga aibu….aibu ndio inajenga kufeli na kuwa mvivu mwisho wa siku unahesabu miaka bila kufanya jambo lolote la maana. #viralvideos #trend #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibar