@thrivingmindsmontessori: Here is why you should always read to your kids…#pareting

thrivingmindsmontessori
thrivingmindsmontessori
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 13 May 2026 02:43:56 GMT
93319
4575
47
2148

Music

Download

Comments

itsmenicole3192013
Itz_N1COLE3TV :
Excuse me Miss... I'm a Teenage girl who watch your Videos, Why parents always raised their Voice when I only just ask a simple Question, or making a Small mistake??? Why???
2026-05-13 12:17:07
32
kristian2177
Kristian :
As a 10 y/O on school nights I read at 9pm to about 9:15 to 9:30
2026-06-18 19:35:33
1
atnas.m
atnas.m :
With both girls I started reading at the moment when they was born same with singing every day in any ocassion. 3 year old started to talk in sentences eith 3 words age 2.3 and fingers cross my almost 1 year old will also follow. ☀️❤️
2026-05-13 11:55:45
5
da_vi_vse_shuete
꧁༒༺ 🔱 𝓔𝓛𝓧𝓜 🌫️🔱 ༻༒꧂ :
Now I know why math feels gibberish to me
2026-05-18 14:43:14
2
cracker_trashjob
cracker_trashjob :
That might be me😭
2026-06-08 23:35:27
1
user1234473735
Amanda💙 :
Do you read the same book or do you read a different books to them or does it not really matter?
2026-05-13 22:52:54
2
eileen9890
⛧Eileen989⛧ :
I love reading for my baby. he always looks so interested in the book when I show him the pictures of it
2026-05-13 18:06:58
2
gina.b1965
Gina.B_TTS :
Yes I agree so much. I have seen this as well within my family
2026-05-13 15:06:48
2
lemonspaid
Lemonspaid :
phonics
2026-07-12 14:02:28
0
mpumy537
success🥰 :
My child doesn't focus, when I want to read for him. He takes a book and throw it away.
2026-06-28 06:03:04
1
rafaelm233
Rafael :
Being reading to my baby since born 100% true
2026-05-13 12:42:56
3
mama_aniaa
Ania | First Time Mom :
What if I already can’t get him to sit still to read a book? Once he started walking he stopped wanting to sit for books.
2026-06-09 14:58:52
1
spending403
@BUILDER04🇯🇲🇯🇲🇺🇸🇺🇸 :
A what age should I start ?
2026-05-14 01:47:42
1
shanttey2
shanttey :
true
2026-05-19 16:57:59
1
rosalind.advincul
Burger_the_dog :
wait why iz that true, my mom doesnt read and my language has gotten bad
2026-06-19 12:02:52
1
ciccimiranda
cicci :
my 9mos old keep closing the book 😂
2026-05-14 05:24:40
1
celibaby.101
celibaby 101🫶🏽🌸 :
Omggggg Claudia 🥰🥰🥰
2026-05-13 02:46:50
0
dcheeselord
Bruise Loose :
My child lebensborn
2026-06-03 11:02:43
2
seanlegendo
seanlegendo :
At what age do you start to read to them?
2026-05-16 10:38:53
1
megan.ificent
🎀 e g a n :
When should I start reading to her? Isn’t just taking to her the same?
2026-05-13 08:01:14
3
decodingthesk8er
Avril you're so good to me :
You should make parenting videos for teens
2026-05-14 16:14:22
1
amycarpenter34
Amy Carpenter :
The paper bag princess is our current fav 👏🥰
2026-05-14 12:05:22
1
megiwars
Meg Aliño :
I read books to my child everyday. He speaked clearly as early as 2 years old and learned to read on his own.
2026-05-13 17:50:51
1
To see more videos from user @thrivingmindsmontessori, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Licha ya kelele zote za umma kuhusu ufisadi katika sekta ya mafuta, hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Chura kiziwi kawa kiziwi kwelikweli. Taarifa zinazozunguka kwenye sekta hiyo zinaeleza kuwa biashara ya mafuta ya transit kupitia Tanzania imezidi kudorora. Kqmpuni za mafuta (OMCs) za Rwanda, Burundi na Malawi zilikataa kuchukua mgao wao kupitia mfumo wa Bulk Procurement System (BPS) kutokana na  gharama kubwa za ununuzi. Badala yake, zilitafuta idhini kutoka kwa serikali zao kuagiza mafuta kupitia utaratibu wa private cargoes, huku OQ ikitajwa kusambaza shehena hizo na Hass ikisimamia usafirishaji wa ndani. Aidha, kuna taarifa kuwa shehena nyingi za mafuta ya transit zilizohusishwa na Vitol, Namaro na TPDC zimeendelea kubaki kwenye matenki nchini Tanzania zikiwa zimewekewa zuio la kifedha (financial hold), jambo linaloibua wasiwasi kuhusu ufanisi wa mfumo mzima wa biashara ya mafuta nchini. Maswali mazito zaidi yanazuka kuhusu zabuni ya kipindi cha Septemba hadi Desemba, iliyofanyika tarehe 29 Mei.  Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, Namaro ilipewa zabuni ya kuingiza shehena moja ya dizeli kila mwezi kwa masharti yaliyoelezwa kuwa ya kipekee.  Aidha, kuna taarifa kuwa baada ya kelele mitandaoni, Serikali ilianza kutafuta namna ya kufuta zabuni hizo, lakini ikakumbana na changamoto kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni makubaliano ya malipo ya awali (prepayment) yaliyofanywa kati ya wahusika. Vile vile, katika zabuni hiyo, kampuni chache pekee, Sahara, Namaro, Addax na Augusta ndizo zilialikwa kushiriki. Inaelezwa kuwa  shehena zote nne za dizeli zilipewa Namaro, huku shehena 14 za petroli zikigawanywa kwa kampuni zilizobaki kwa sharti la kununua mafuta kutoka Vitol. Inasemekana  Sahara ilikataa kufanya biashara na Vitol na ikaruhusiwa kununua kutoka Reliance badala ya wasambazaji wengine kama Aramco. Mimi najiuliza kwanini zabuni za kimkakati zinaendelea kuzungukwa na malalamiko ya upendeleo na ukosefu wa ushindani wa haki? Kwa nini mfumo unaopaswa kulinda maslahi ya Watanzania unaonekana kuwanufaisha wachache huku ukidhoofisha ushindani wa Tanzania kama lango la biashara ya mafuta katika soko la kikanda? Watanzania wanastahili ukweli. Wanastahili uwazi. Wanastahili mfumo wa zabuni unaotanguliza maslahi ya Taifa, si maslahi ya watu au kampuni chache.  Rasilimali za Taifa si mali ya kikundi cha watu; ni mali ya Watanzania wote.

About