@rashidalshukery99: #*👆🏾"Unapambana usiku na mchana kujaza gunia ambalo hutaondoka nalo. Kibaya zaidi, wale unaowaachia mali hiyo, wanakumbuka kugawana kila senti lakini wanasahau hata kutoa sadaka ya shilingi mia kwa ajili ya nafsi yako. Usiwe bakhili kwa nafsi yako mwenyewe; fanya heri ukiwa hai, maana ukishafumba macho, wewe ni hadithi tu."*@Istiqama swahili TV @sheikh.Yusuf.Abdi @ʀᴀᴍᴀᴅʜᴀɴ ᴋᴜʀɪᴀ @Sheikh Nurdeen Kishk @Sisters In Imaan Tz @Mazrui @Afaaizu Luheta #SomoLaMaisha #MaishaNaMauti #Sadaka #Ukarimu
kheri yoyote unatakiwa uifanyie mwenyewe ukiwa hai
شاكرن جزاك الله خيار 🤲🤲🤲
2026-05-13 09:16:33
1
Mina Collection :
Subhanallah
2026-05-15 08:07:43
0
nadia.salem54🇨🇦 :
Tamaa
2026-05-13 12:04:27
0
Abdu Juma Gathesha :
Ajaib, Hakika, Wajib Ujifanyie kila Kheir Mwenyewe Hali Uko Uhai sio Kutumainia "WARATHI": Ma Sh Allah "Tadabur"
2026-05-14 14:43:59
0
riziki :
Mungu tujaalie tujiandalie ahera yetu ingal tuhai
2026-06-04 13:24:48
0
mswahili :
tufanye kheri mapema
2026-05-13 10:21:31
0
mandulla :
🥰🥰🥰
2026-05-14 02:34:47
0
Maashaa Allah :
❤❤❤❤❤❤🩵🩵
2026-05-14 11:43:38
0
Bint Aliy :
Maa Shaa Allah
shukran sana
Allah akubaarik sheikh kwa kissa kizuri chenye mazingatio makubwa
Faiza ziko nyingi sana Alhamdulillah baadhi ni kama zifuatazo:
1. Mwanadamu asijisahau kujitangulizia Hakiba yake mbele ya Allah.
2.Mali si chochote katika haya Maisha.
3.Allah akitaka kukupa basi hukupa kwa njia usio itarajia.( kama hao waliorithi).
4.Allah huweka riziki ya mtu ndani ya mikono ya mtu mwengine...basi ukipata ujuwe umepewa wewe uwape na wengine.
5.Binaadamu Asiwe na pupa na kutafuta Mali akasahau akhera yake.
6.Waislamu tusaidiane tukiwa hai na tuwakumbuke kwa kuwatendea wema waliotangulia.
2026-05-13 18:42:32
0
To see more videos from user @rashidalshukery99, please go to the Tikwm
homepage.