mashallah yaani nikiolewa ntakua napika mapishi yako yote ☺️
2026-05-13 10:02:20
197
user1737003233401 :
kweli naipenda samaki lkn mmmh
2026-07-04 14:35:26
7
Tanzanite💎 :
mashallah habbty moto wa samak umeeka ngap na dkk ngap pls
2026-05-13 17:22:25
6
kd39 :
nitapata vipi hii vedeo
2026-07-04 09:03:12
1
mussa :
paprika,walika,shanika😀😀😀
2026-06-28 18:00:31
0
zaharaomar503 :
mashaallah
2026-06-12 06:59:58
0
Miss mimah💋 :
nilikuwa natafuta mtu ambae siku atatufundisha kupika na majina ya viungo atatuhorodheshea nimekupata ww upo vizuri mashallah mwenyezi mungu akusimamie☺️
2026-06-27 10:37:24
8
🎀🌹pretty_nura🌹🎀 :
nakupenda sana dada umenifunza mengi👍🥰
2026-06-06 08:21:00
0
Rahma Salim :
MashaAllah Tabarakallah
2026-05-23 22:29:12
0
Tee💙 :
Najivunia kwakua nimekufollow basi roho yangu bardiiiiiii🥰🥰🥰🥰 habibty ww ndio somo yangu aisee👌👌
2026-06-27 08:35:25
1
fatma 🧕🏼🥰🦋 :
mashaallah
2026-05-15 07:42:56
0
🦋🤍wema🦋🇰🇪 :
Mashaallah 😋
2026-05-14 04:51:11
0
Reshmah :
Da hawa me naomba hilo tui 🤣🤣🤣🤣
2026-06-01 11:38:34
1
nisha71 :
Nakupenda Bure 🥰
2026-05-15 06:36:35
1
Mery Peter :
somo yangu na kupenda 💕
2026-05-22 12:33:55
0
Naj_officiol :
Wangu cjui ntampikia nn anajua kupika kunizidiii 😭💔💔
2026-05-25 18:15:40
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm
homepage.