@btd_tigray_hood: #Btd #Btd_tigray_hood #tigray_drill💥 #tigraytiktok🇻🇳🇻🇳tigraytiktok @navii_smoke @solodaleo @𝙰𝙰𝚁𝙾𝙽 𝙲𝙴𝙴🥷 @kv kalvin @B.T.D @𝑽.𝑲_𝑾𝑯𝑰𝑻𝑬 🪾 @LF@NU🕷🥷

BTD
BTD
Open In TikTok:
Region: ET
Wednesday 13 May 2026 11:55:56 GMT
11083
849
10
88

Music

Download

Comments

user69621759392881
dani magna :
wow navi,
2026-05-18 18:05:31
0
alexs.axsata
Alexs Axsata :
broski
2026-05-16 00:03:45
1
nerex67
nerex💥አዉለ ንፉስ🌪 :
2026-05-16 13:16:28
1
wedi.nani
Esrom Nani :
broski
2026-05-13 12:51:55
1
its_navii_
navii_smoke :
Friday 🔥
2026-05-13 15:28:37
5
robsen1216
☆ Robsen ☆ :
hot 🔥
2026-05-13 17:22:20
1
lilrobi05g
Robi Azmarino🥷🇯🇲 :
BTD 🥶🥷
2026-08-06 00:33:12
0
369mrno
369 :
🥰🥰🥰
2026-05-15 18:16:09
2
djhntsa3
djhntsa3 :
🥰🥰🥰
2026-05-15 21:38:45
1
orionkeya
Orion :
🔥🔥🔥
2026-05-13 12:33:58
1
To see more videos from user @btd_tigray_hood, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mjadala mkali wa kisheria na kikatiba umeibuka kuhusu uhuru wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutokana na aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Omar Ramadhani Mapuri kuwa Kamishna wa Tume hiyo pamoja na hatua ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles kugombea ubunge wa Jimbo la Butiama na kushida ubunge huo kupitia CCM. Mjadala huo umejitokeza kwenye kipindi cha Medani Kuu kilichorushwa na kituo cha Star TV chini ya mtangazaji Edwin Odemba (Chief Odemba) Jumamosi, tarehe 10 Oktoba 2026, ukimkutanisha Wakili Leonald Manyama, Wakili Maduhu William, Wakili Dickson Matata na Wakili Sweetbert Nkuba. Katika mjadala huo, Wakili Maduhu William amehoji vigezo vya kisheria na usawa akionesha wasiwasi juu ya Mapuri kuteuliwa kuwa Kamishna wa INEC wakati amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Pia ameeleza mashaka juu ya mazingira ya Dkt. Wilson Mahera kujiunga na CCM na kugombea ubunge mara baada ya kustaafu nafasi ya Mkurugenzi wa Uchaguzi. Akijibu hoja hizo, Wakili Leonald Manyama amebainisha kuwa Dkt. Mahera hakuwa mwanachama wa CCM wakati akitekeleza majukumu yake kama Mkurugenzi wa Uchaguzi, na kwamba katiba na sheria za nchi hazimzuii raia kujiunga na chama cha siasa au kugombea uongozi mara baada ya kustaafu. Kuhusu Balozi Mapuri kuwa Mjumbe wa INEC, Wakili Manyama ameeleza kuwa wajumbe wote wanaoteuliwa na Rais hula kiapo cha kuwajibika kwa mujibu wa sheria na kulinda katiba, hatua inayowatua na kuweka kando ukada au nafasi zozote za kisiasa. Wakili Manyama alizidi kueleza kuwa kipimo kikuu cha mjumbe wa Tume ni utendaji wake kwa mujibu wa sheria na sio historia yake ya nyuma au vazi analovaa, huku akiwataka wakosaji kutoa ushahidi iwapo Balozi Mapuri ametenda jambo lolote kinyume cha sheria tangu ateuliwe.

About