@juice_asilia: Safari ya kupunguza uzito haitakiwi iwe ya kukuboa. Juisi hizi 3 zitakusaidia katika safari hiyo, fresh na zenye ladha nzuri na unatengeneza mwenyewe nyumbani. 1. Tango + Green Apple + Limao + Mint 2. Beetroot + Karoti + Limao 3. Nanasi + Tango Ni combo gani utaanza nayo? Niambie kwenye comment hapo chini. #beetrootjuice #detoxjuice #pineapplejuice #applejuice #carrotjuice
juice_asilia
Region: TZ
Wednesday 13 May 2026 13:06:45 GMT
Music
Download
Comments
Najma Silayo :
nanasi na tango
2026-05-16 16:01:35
0
Bhai :
unawek sukar?
2026-05-15 23:47:48
0
user3731771162322 :
tango green apple limao mint
2026-05-14 11:06:52
2
user3096782070480 :
tango epo lakijani na limao
2026-07-07 17:13:09
0
Dadia :
betrut, karoti na limao
2026-07-15 03:59:50
0
arafa :
nanas na tango
2026-07-08 05:35:12
0
Dativa Massawe :
Mimi nimeanza na green apple,karot,tangawizi,tango
2026-05-13 18:55:39
3
Mrs Abdalla Rashid El cabron🥰 :
unakunywa saa ngapi?
2026-05-14 18:06:19
0
user7859696233605 :
nimekupnda nanimekufollow huna mambo mengi nimevutia na clip zako nizakweli
2026-05-15 06:53:17
0
Momogaely💘💕💕💕💯 :
Mimi green apple tango na tangawizi
2026-05-14 13:50:16
1
Ishacute🥰 :
Kama nini vidonda vya tumbo ninanifaa ???🥺
2026-05-15 15:41:43
0
Ladysuzie :
mjamzito inafaa kutumia
2026-05-19 10:03:22
0
joyce assi :
🥰🥰🥰
2026-05-15 11:37:40
0
Blessings :
🥰🥰🥰🥰
2026-05-17 07:28:22
0
ofcialysammy07 :
😳😳😳
2026-05-26 11:57:28
0
billy :
😁😁😁
2026-06-07 14:15:00
0
To see more videos from user @juice_asilia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.