@madam_leila: Karibuni katika Darasa letu la pili la Online. Hii ni baada ya mafanikio ya Darasa letu la Smart Ladies Master Class. Katika Darasa hili tutakua na mgeni Muhimu na Mwanazuoni @izudin.alwy.moham Darsa hii inatakua ya siku mbili yaani Tar 29 na Tar 30/5/2026. Mada kuu nne zitajadiliwa pamoja na nafasi ya maswali na majibu. Washiriki ni watu wote, Wanawake kwa Wanaume. Nawakaribisha nyote kwenye Darasa letu hili Adhim na Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yetu. Kiingilio ni Tsh 50,000/= kwa siku zote mbili. Namba ya malipo ni Lipa kwa Mixx by Yas Namba: 8561947; Jina : Leila Chams. Kwa maswali, maelezo zaidi namna ya kulipa na kujiunga, tafadhali tuandikie kwa namba : (+255) 0757643746 WhatsApp na kwa Simu ya Kawaida.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 13 May 2026 15:00:40 GMT
427208
26351
268
1570

Music

Download

Comments

smarjos
mr joe :
kwan hujui ndugu nao sikuhz ni temporary
2026-05-13 16:05:06
135
sammygp67
JOVIER :
Everything is temporary, I sure you
2026-05-13 23:35:31
18
mwaju1993
Husna amuri :
Unatuvunja moyo jaman
2026-05-13 15:26:35
46
ummellanin2101helwa
ummellanin2101helwa🌸 :
my situation
2026-05-13 15:42:17
28
zainabjosephat
Zayneb Abdullah :
dada mshukuru mwenyez mungu sana kama ndugu zako mpo na upendo
2026-05-14 14:34:15
19
the_realmafia770
FRANK 🌴 :
Asantee kwa hii post ngoja nimatag mke wangu aje asikie 😂😂
2026-05-14 06:16:59
22
mercy.merian
mercy merian :
ndugu wa sasa hivi hawajakutenda mama
2026-05-14 09:52:09
15
sarahamos2956
sarahamos2956 :
hii sijaelewa...mmena mke ni mwili mmoja,, Mungu aliumba hivo
2026-05-15 06:57:35
7
leahmartin108
leahmartin108 :
yaliotukuta haya madam tunaokuelewa sana
2026-05-13 18:53:41
19
eliza.mmasa
Eliza Mmasa :
na sisi tulio umizwa na ndugu tukimbilie wapi sasa madam..mi ninamkabizi mungu tu maisha yangu sasa🙏🙏
2026-05-14 11:40:31
9
gloryhealth
Mrs Frank :
nakupenda sana kuna vitu nimejifunza kwako barikiwa kwa ajili yngu
2026-05-13 15:37:21
18
jamsey.manara
Jamsey Manara :
iyo temporary enyewe
2026-05-13 15:08:06
10
phylis.zakayo
Phylis Zakayo :
ukweli kabisa dada
2026-05-13 15:40:44
9
user945213233181
pretty C :
Mungu akulinde kwaajili yetu
2026-05-13 15:41:58
12
alexandermnyika
Mc'kory lexxus 🇰🇪🇪🇺 :
I like the wisdom in this beautiful lady..
2026-05-13 16:44:54
6
user565719452
Babu Ali :
nikweli mamangu
2026-05-13 16:26:50
8
tymer1936
tymer :
hata ndugu nao kwa sasa ni temporary
2026-05-15 13:23:10
5
sharleenme
nase nase :
eeh dada Leyla ni mimi unanisema💯❤️
2026-05-13 15:56:50
5
faudhia.saidy4
Faudhia Saidy :
yaan dadaangu umeongea ukweli
2026-05-13 18:19:07
5
mamanjosipa
Maman Josipa :
Ni hatareee kipenzi
2026-05-25 22:41:12
0
live_by_her
live_by_her :
aseeee this is the most honest talk huyu dada kasema and it’s the hard truth
2026-05-27 19:17:09
1
themachinepeter
the machine🇧🇮 :
nagufata nikiwa burundi bujumbura mia mia maman ukwel sana
2026-05-20 22:47:01
0
annarobert39
Annie🫧 :
hakika
2026-05-15 05:13:29
2
peruu67
Peruu :
kweli kabisa💯💯
2026-05-17 10:39:51
1
user6061491314920
Ummy Hizir :
Fact👌👌
2026-05-15 08:23:43
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About