@dr.andimile1: DALILI ZA MTU MWENYE NYOTA NZURI LAKINI IMEFUNGWA Kuna watu wamezaliwa na nyota kubwa ya mafanikio, utajiri, mvuto na heshima... lakini maisha yao yanaonekana ya kawaida au yenye mateso makubwa. Sababu ni kwamba nyota yao imefungwa kiroho. DALILI ZA MTU MWENYE NYOTA ILIYOFUNGWA Watu wengi wanakupenda mwanzo kisha wanabadilika ghafla Una vipaji vikubwa lakini havikupi mafanikio Kila ukipata nafasi nzuri inapotea dakika za mwisho Unafanya kazi sana kuliko matokeo unayopata Unakuwa karibu kufanikiwa kisha matatizo yananza Watu wanaiga ideas zako na wao wanafanikiwa kuliko wewe Unaweza kupata ndoto za kuanguka, kufukuzwa au kuwa sehemu za giza Unahisi kama kuna nguvu inakurudisha nyuma kila unapoinuka WATU WENGI HAWAJUI HILI Kuna nyakati mtu huzaliwa na nuru kubwa ya mafanikio kiasi kwamba watu wenye husda hujaribu kuizima kwa njia za kiroho. Ndiyo maana wengine hupitia: Mikosi isiyoeleweka Kukataliwa bila sababu Kuvunjika kwa mahusiano Kuporomoka kwa biashara Kukosa amani ya maisha JE UFANYE NINI? ✓ Jifanyie uchunguzi wa kiroho ✓ Safisha nyota yako mapema ✓ Ondoa mikosi na nuksi zinazozuia maendeleo ✓ Fungua njia za riziki, mvuto na mafanikio ✓ Linda maisha yako dhidi ya nguvu hasi Usisubiri mpaka maisha yawe magumu zaidi ndipo uanze kutafuta suluhisho. 📞 Kwa msaada wa ushauri na tiba za kiroho #creatorsearchinsights #viralvideo #fyp #nyota

dr.andimile1🌎
dr.andimile1🌎
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 13 May 2026 18:23:34 GMT
297765
5596
211
204

Music

Download

Comments

justine.nasambu
Justine Nasambu :
huyu ni Mimi mungu nionekanie
2026-05-14 10:01:51
40
rahma.abdallah31
Rahma Abdallah :
Yan adi nimeriya maana hapa niripo nipo kwenye ndoa mwaka wa3 lakini mateso ninayopitia magumu ninayopitia na umri wangu ni vitu 2 tofauti nateseka mno mungu niokoe nionyeshe njia nifanye mpya tena machoni pa watu niwe mwenyesamahan katika macho ya watu 😭😭🙏🙏
2026-06-03 14:04:49
17
suzykidoti3
suzie😍 :
ni mimi kabisaaa yani hakuna hata ulichanganya ni mimi huyo
2026-06-30 22:36:37
1
malinzu.malinzu
kibo og 222222222 :
mungu bariki nyota yngu baliki maisha yangu bariki bwana mahali palipo fungal naomba pafunguliwe kwa damu yak yesu
2026-06-29 23:36:02
1
joharbremb2
@jojo brembo🤴👸 :
yani sijui tumewakosea nn
2026-05-14 03:54:10
9
slow74020
Slow😘 :
ni me kabisa dalil zote ninazo
2026-05-14 07:12:48
12
vio.let220
vio.let❤️ 😍 :
this is me
2026-05-26 12:21:18
1
marydeonatus
Mary👄 :
ni Mimi kabsa🥹🥹🥹🥹
2026-05-16 09:51:56
2
honeybonge
bonge honey💠💠 :
nimim jmn😭😭😭😭😭
2026-05-21 14:46:11
2
user9425690282839
mchina feki :
ni mimi taifunguaje mimi
2026-06-01 16:12:13
0
lizzy.disgener
✂️🧵Lizzy disgener👗 :
ni mimi kabisa 😭😭😭
2026-06-23 20:20:31
2
neema.nzara
neema nzara :
Eee mungu wangu nisaidie 🙏🙏
2026-06-22 09:24:49
1
uncleandrew18
Uncle Andrew🇺🇸🇰🇪 :
may Almighty God save any person who is going through this. . may never leave your side🙏🙏 Amina
2026-06-27 19:42:23
2
mldmkk3
al :
mungu nakuomba sana unisaidie napitia hii yote
2026-06-14 21:00:42
1
imaculaith.nkya
soniachocolate :
it's me
2026-05-23 07:05:56
0
maimunakhamisi330
SINGLE _MAMA_69 :
😭😭😭😭😭mimi kabisaaaaaa
2026-05-29 18:18:08
1
charitir1
Charity Nibitanga :
huyu ni mume wangu🥺🥺🥺
2026-05-14 21:06:25
6
james.kapina
james kapina :
amina
2026-05-31 06:05:17
1
ezekielsiara
ezekiel siara :
off course ni kama umeniona 😭😭😭😭😭
2026-05-20 17:40:56
1
bertin.ladislas
Bertin Ladislas :
Amina
2026-05-26 05:54:32
2
baji.wa.nino.momo5
Mommy 4❤️🌹 :
ni kwel ata mimi najiona na sijui nafanyaje naumia😭😭😭❤️‍🔥❤️‍🩹
2026-06-19 12:37:01
2
smart.joker689
Smart joker :
iwe mungu nionekanie
2026-05-27 04:47:07
3
user44752953142160
jackjack :
mungu ni muweza wa yote watachezea tuu mwisho watachoka
2026-05-20 07:37:04
2
saref025
SAREF ACTOR :
inshaaahla 🙏 ukawe na umri mrefu duniani
2026-06-08 16:27:20
2
rey_star08
@rey_star :
mungu nisaidiye na mm
2026-06-13 06:14:19
2
To see more videos from user @dr.andimile1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About