@3annnady: Premium AI ebook featuring the best AI tools, productivity workflows, prompt systems, automation ideas, creator strategies, and modern digital business resources for 2026 and beyond. 🎁 Launch Discount Available — Use code: LUX20 Link in bio #ebook #aiprompt #prompt #digitalproducts #tiktokviral

عنّــادي 🇦🇪💜Anny
عنّــادي 🇦🇪💜Anny
Open In TikTok:
Region: AE
Wednesday 13 May 2026 19:26:28 GMT
171721
1181
5
7

Music

Download

Comments

ersi0648
Ersi :
Price?
2026-07-29 18:43:47
1
grahammercertech
grahammercertech :
This is impressive, atmospheric music fits the dramatic launch
2026-07-01 02:59:11
2
ebookforge
ebookforge :
Oh wow 😳
2026-07-19 11:42:17
1
3annnady
عنّــادي 🇦🇪💜Anny :
https://payhip.com/AILuxoria
2026-07-29 15:23:53
0
To see more videos from user @3annnady, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Je, elimu na ajira ndivyo vinavyotengeneza utajiri wa kweli? 🤔 Ukweli ni kwamba, elimu ya darasani pekee haikufanyi kuwa tajiri, na ajira haijawahi kuwa kimbilio la utajiri wa kudumu. Utajiri wa kweli unapatikana sehemu moja tu: kwenye uwezo wa kuona matatizo yaliyopo kwenye jamii na kuyatatua, awe mtu amesoma au hajasoma. Unapotatua tatizo la mtu mwingine, thamani unayotengeneza ndiyo inayorudi kwako kama utajiri. Tazama video nzima YOUTUBE SCCULT ONLINE TV au bofya link kwenye bio Je, mtazamo wako ni upi kwenye hili? Dondosha maoni yako hapa chini! 👇 Biashara yako inaweza kuendelea kufanya kazi, kukua na kutengeneza faida hata bila wewe kuwepo kila siku? Kutana na Eng. Kabenda Balete, Executive Director wa LBS Foundation, kama Presenter kwenye DREAM2026: Impact Summit & Personal Growth Experience. Katika mada ya “From Hustler to Systems: Kujenga Biashara Zinazodumu Vizazi hadi Vizazi,” tutaangazia namna mjasiriamali anavyoweza kutoka kwenye biashara inayomtegemea yeye kwa kila jambo na kujenga biashara yenye mifumo, timu, udhibiti wa fedha na mwelekeo wa ukuaji. Pia tutajadili maeneo muhimu kama: ✅ Kutenganisha biashara na mmiliki ✅ Kujenga mifumo ya fedha, mauzo na huduma kwa wateja ✅ Kutengeneza timu inayoweza kuendesha biashara ✅ Kutumia teknolojia na taarifa sahihi kufanya maamuzi ✅ Kuandaa biashara inayoweza kukua, kupata uwekezaji na kudumu hata baada ya mwanzilishi kutokuwepo. Swali muhimu kwa SMEs ni hili: Je, unamiliki biashara yenye mfumo, au biashara yako inakumiliki wewe? Unadhani changamoto kubwa inayowazuia wajasiriamali kujenga biashara zinazodumu ni ipi—kutokuwepo kwa mifumo, kutokuamini timu, kutokuwa na kumbukumbu sahihi za fedha, au kufanya kila kitu wao wenyewe? Tuambie kwenye comment 👇Na mtaje mjasiriamali anayehitaji kutoka kwenye hustle na kuanza kujenga biashara yenye mfumo, ukuaji na urithi wa kudumu. 📅 15 Agosti 2026 ⏰ Saa 2:00 Asubuhi – 8:30 Mchana 📍 Peacock Hotel, Dar es Salaam 🎟️ Kiingilio ni Bure!   Jisajili sasa. #Biashara #ElimuYaFedha #PawaPod

About