@chomozatv: Leo ninakuombea mambo mawili katika jina la Yesu. Bwana aachilie Financial grace kwenye vyanzo vyako vya kimapato Hii ni neema ambayo Mungu anaachilia kwenye vyanzo vyako vya mapato. Naa hii neema ikishaachiliwa inaleta mpenyo kwenye uchumi wako, inaleta maongezeko na faida lakini pia inakusaidia kufungua milango zaidi ya kiuchumi Jitamkie kwa imani Napokea financial grace kwenye vyanzo vyangu vyote vya mapato. Ninakuombea leMaisha malaika wa habari njema apite na kwenye njia yako leo upokee habari njema kwenye kila eneo la maisha yako, habari mbaya sio fungu lako kabisaa Hakikisha unajitamkia kwamba habari mbaya sio Fungu langu, mimi ni mtu wa habari njema tu katika jina la Yesu — Mwl. Emilian #2026Angaza
chomozatv
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 03:25:19 GMT
Music
Download
Comments
Minah Cutey :
Napokea neema kwenye vyanzo vya familia yangu vyote vya mapato.Napokea habari njema kwenye familia yangu kwenye maeneo yote ya maisha yetu.
2026-05-14 05:42:22
45
Silas :
Napokea Neema ya Fedha Kwa Jina la Yesu kristo Aliye Hai 🙏
2026-05-14 10:08:20
21
Adams NKURUNZIZA :
Napokeya finance grace
2026-06-09 16:55:43
0
Quamby Elly :
Napokea financial grace kwenye vyanzo vyangu vyote vya mapato kwa jina la Yesu..Amina
2026-05-15 10:15:26
19
Niffer..💫 :
napokea financial grace na habariiii njema Kwa jina la Yesu Ameeeeeen 🙏🙏
2026-05-16 05:38:01
19
anethmsitafaaneth :
Amen 🙌 napokea in Jesus name
2026-05-14 10:01:19
5
Charles Richman :
Napokea financial Grace. AMEN
2026-06-09 02:06:11
0
Emmid 4002 :
AMEN NAPOKEA NEEMA YESU NDIO DAWA
2026-05-14 09:05:23
9
Lilyagust137 :
Amen amen
2026-05-14 09:25:27
6
Martha cute :
napokea neema ya fedha na kuolewa na afya kwa jina la yesu🙏🙏
2026-05-15 10:42:46
10
rich :
amen napokea neema ya kifedha katika jina la yesu
2026-05-14 09:52:01
7
jacquelinenyamwom :
Amina Amina Amina napokea Kwa jina la yesu
2026-05-14 10:29:37
5
Aidan festo :
amen amen amen napokea kwa jina la yesu
2026-05-14 09:31:49
17
hamismatondo :
Napokea neema kwenye vyanzo vyangu vya mapato
2026-05-15 04:09:52
10
Annah :
AMEN Napokea FINANCIAL GRACE kwenye vyanzo vyangu vyote vya Kiuchumi pia na yule MALAIKA yule mleta habari njema apite kwenye njia ya maisha yangu.
2026-05-15 08:46:11
5
Ruth :
napokea kwa jina la yesu
2026-05-14 10:37:49
6
user9973174001325 :
napokea habar njema kwenye kila eneo la maisha yangu
2026-05-15 09:25:47
5
Annie ✨️💫 :
NAPOKEA FINANCIAL GRACE AMEN
2026-06-09 07:48:15
0
Doris Urassa :
napokea neema kwenye vyanzo vyangu vyote vya mapato. Amen
2026-05-14 09:46:35
6
magcare :
napokea neema kwenye vyanzo vyangu vyote vya kimapato. Amen
2026-05-15 04:58:37
5
tuchi :
Napokea habari njema AMEN
2026-05-18 05:43:02
2
chantal :
napokea
financiel grace
2026-05-22 04:29:49
1
Momo Rady :
ameni napokea
.
2026-05-17 20:59:30
2
anastacia :
napokea financial grace
2026-05-18 11:44:41
2
Noellamafille :
napokea financial grâce ,katika jina la YESU KRISTO
2026-06-08 03:48:55
1
To see more videos from user @chomozatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.