@health_farm_tz: Katika mahojiano na Dr Matilida Ngarina yaliyofanywa na #mwananchi ametaja kuwa wanaume 2 kati ya 3 wanaoenda Hospital ya taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya Huduma ya IVF wanatatizo la mbegu chache au zilizo na changamoto ya kimuundo. Aidha, Hizi ni baadhi ya sababu zinzoweza kuchangia tatizo la Mbegu chache (Low sperm count) Lishe mbovu, uvutaji sigara, Ulevi wa pombe, matumizi holela ya dawa, uzito mkubwa (Obesity), Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama kaswende, kisonono na chlamydia, Kukaa sehemu yenye joto kali au kuoga maji ya moto mara kwa mara, Matumizi ya steroids hasa kwa body builders, Mionzi ya x-rays, Hormonal Imbalance n.k Na kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) linataja kuwa sababu kubwa ya mbegu hafifu au ugumba kwa wanaume ni tatizo la VARICOCELE. Kwa Mantiki hiyo sasa, changamoto ya uzazi sio swala la upande mmoja ni vyema kutazama pande zote mbili endapo mmejaribu kupata mtoto na imeshindikana hasa kwa miezi 12 na zaidi. Credit; Mwananchi ELIMIKA, HAMASIKA, CHUKUA HATUA KABLA MWILI HAUJACHOKA! #healthfarmtz #Lifestyle #ivf #afya
health_farm_tz
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 05:49:58 GMT
Music
Download
Comments
Britain gold :
chips isikauke sana weka na mayonaizi😀
2026-05-14 19:58:45
60
naomi :
wanakula sana chips
2026-05-14 09:32:19
86
issa mkombo :
Dr Matilda Ngarina nampenda sana
2026-05-14 14:23:45
30
The middle child :
Daktari wangu,, huyu mama 🙌🙌🙌 nampendaaaa Jamani… best doctor ever
2026-05-14 19:18:14
16
farhaty ally :
naweza ku comment kwa voice note.. huyu mama mungu amuweke ...Allah amuhifadhi wallah... mm mpka nataka kulia...Alinisaidia mno..issue za uzaz wangu
2026-05-14 15:50:36
34
Emm :
IVF ni nini
2026-05-14 11:13:00
3
Rutyhair & beauty :
My favorite Dr Ngarina🥰 ana roho nzur kama yeye alivyo mrembo❤️
2026-05-15 04:22:59
5
Vumilia Gondo :
dr wng jamani YESU akutunze jamani🥰
2026-05-14 18:42:49
6
SAMMYYYYY :
ww mama muongoooo mweeee
2026-05-15 18:19:39
5
Live and eat like a Tanzanian :
MNAGEUZA STORY. HAMSEMI UKWELI
2026-05-15 00:47:36
7
Zyrah ❤️ :
Allah ampe maisha marefu huyu doctor jmn ni mzur🥰
2026-05-17 08:29:27
0
haika :
dr Matilda Ngarina nampenda sana watoto wangu wote wamepita mikononi mwake
2026-05-15 04:18:22
6
dis_255 :
GMO 🙌
2026-05-15 03:53:42
3
Michaelleo :
Sa itakuwaje
2026-05-14 15:12:59
9
Sarah Buberwa :
nakupenda Dr Matilda, umziuri wa kila kitu hadi sura!
2026-05-15 03:52:39
5
Jackline Lulangasi :
wanakataaa sana watoto sasa mungu anawaeleleza
2026-05-15 07:02:54
5
MARTHA PAUL :
Dr ngalina aisee mzuri Sana kwenye issue za wanawake
2026-05-14 17:22:44
7
$ :
Hospital ipo wapi hii?
2026-05-14 16:25:38
3
Da Oly :
My doctor 🥰🥰
2026-05-15 12:52:33
2
smart area :
Mungu azidi kukuweka Dr upo vizur sana unattended vyema taaluma yako
2026-05-15 13:29:45
4
ash :
Dct ngalina🥰
2026-05-15 02:56:24
3
公爵公爵 :
Doctor bora kabisa!!
2026-05-15 07:37:44
3
lissa bby :
mwenye mawasiliano yake naomba anisaidie tafadhali
2026-05-14 19:46:57
4
To see more videos from user @health_farm_tz, please go to the Tikwm
homepage.