maneno yako yananipa nguvu kila itwae leo professa we ni mtu muimu sana katika maiaha ya vijana mungu akubaliki sana baba
2026-05-14 17:08:50
27
scola Decute :
Mwaka jana nimekutana na mama mmoja mchagaa aiseeeh Mungu amupe maishaa marefuu maan kanipambania sanaa kama binti yake Mungu amuwekee miakaa mingi nije nilipe shukuran aiseeeh🥰🥰
2026-05-14 17:08:50
17
rama@beach boy :
kama unamuamini mungu na kupambana bila kukata tamaa gonga like