MaydaKav :
yarrabi make it easy for me, sometimes I feel am breaking 💔inside, I feel empty, alone ila na imani ndani yangu upo nami, kwa hitaji langu la nafsi naomba ukuu wako uonekane, kwa kila zito langu liwe jepesi, jidhihirishe kwenye magumu yangu, nikahisi umenishika mkono, nisiabike, nisidhalilike,linda imani yangu, nyimbo hii ikawe kumbusho kuwa mola wangu niridhike kwa unachonipa, nipe riski yangu ya halali nami,🥺🥺🥺🥺😭Ya Allah, Ya Allah, unaye jibu maombi nijibie Mwenyezi Mungu wangu 🤲😭
2026-05-15 16:57:25