@malkiafoods: Dada Edina kajifunza kupika mkate kwa mara ya kwanza and I am soo Proud of her❤ INGREDIENTS unga 4cups sukari 3/4 cup hamira 2tbsp maji 1 cup (vugu vugu) warm chumvi 1/2 tsp butter 1tbsp #Breakfast #whitebread #Recipe #kenyantiktok #creatorsearchinsights

Malkia Foods
Malkia Foods
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 08:38:22 GMT
292802
13707
365
384

Music

Download

Comments

uncle_craty
uncle_craty :
Sitak kuamini Edina anajua kupika kuliko mke wangu 😂😂😂😂😂
2026-05-14 09:13:27
385
lindseymallya
lindsey-Mallya :
😁😁 Napiga ngumi kuondoa gesi 😁😁❤️
2026-05-14 08:58:39
272
am_cathy
Nurse cattie :
Unaanzaga my za dada unamalizia my zangu 😂😂
2026-05-14 14:50:50
96
rayla.lupamba
Rayla Lupamba :
mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako 🥰 big up malkia food
2026-05-14 09:40:58
244
lenah05esq
🎀 Lenah Esq📚⚖️👩‍⚖️... :
Hi mai za dada😂
2026-06-23 12:31:45
8
scolarkisanga
Scolar_Kisanga :
Edna anapenda kujiamulia mambo ,Mwanzo my za dada mwisho my zake😅😅😅😅
2026-05-14 18:55:15
34
cakeandmore42
Cake and more❤️ :
Sisi ni my za dada
2026-05-14 12:41:02
48
aujeniamerida
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
Mbn wanafanana na malkia
2026-05-14 13:14:57
24
lashed.by.liana
Liana Lashes :
kwaio unga ni wetu na hamira ni yetu ila mkate ni wako sawa mahii wetu😔😔😔😂😂
2026-07-01 08:14:18
2
neemaathanazi1
@NeemaAthanazi :
unga wa ngano ama Dona?
2026-07-09 15:04:50
0
jojocute254
JojoCute :
Mbn saut haiendan na mwl😁😁😁😁
2026-05-22 09:53:27
7
its.leyla728
its leyla :
Hey my za dada…………. Khaaaaaaaaaaaa nimecheka
2026-06-30 11:57:00
1
gello_g2
gello :
dada malkia mungu akutunze jmn najifunza mengi sana kupitia wewe
2026-05-14 09:22:50
36
rosemary.lema7
Rosemary Lema :
Aweee da Edina kawa fundi big up my wetu
2026-05-14 10:48:09
6
lizybby
@lizybby :
Malkia food Mungu akutunze ww ni mwanamke na nusu❤️🙏🏾
2026-05-14 10:03:46
11
m.l.tiara
MARSIA :
Zamani, wasichana waliofanya kazi kwa wageni walifundishwa mambo mengi kama kupika, kuoka, kufua kwa mashine, kufuma na kushona. Kazi ikiisha wanakua na uwezo wa kujiajiri. Tujitoe kufundisha wasaidizi ujuzi, hongera malkia👏👏👏
2026-05-14 16:22:56
18
leen21536
leen✨ :
Dada edina msafii🥰
2026-06-28 15:37:04
0
vee_v78
vee_v78 :
sasa mimi sijui hata najua nn kwny hii dunia😭😂😂😂😂
2026-06-29 05:06:38
2
aishamanety2786
Tik Toker :
malkia ubarikiwe uzao wako
2026-06-23 11:04:19
1
momohnutrition
𝗠𝗢𝗠𝗢𝗛 𝗡𝗨𝗧𝗥𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡 :
90/90
2026-05-22 08:07:52
1
golden022026
🦋🦋 :
saut na yeye haviendan
2026-06-28 17:54:50
2
user5634850016342
user5634850016342 :
hey my za dada...Mwishon bye my zangu😁
2026-06-19 12:09:10
1
mamagianna13
Sabi :
Raha ya kufanya kazi nyumba za kishua unatoka na fani ya kupika vitu vya kishua shua
2026-06-22 19:38:35
3
To see more videos from user @malkiafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About