@jamila_digestivecare3: #🔥 ACID REFLUX inaweza kusababisha koo kubana na maumivu ya koo bila wewe kujua! Watu wengi hudhani koo kubana ni mafua au tatizo la kawaida, lakini wakati mwingine chanzo kinaweza kuwa ni acid reflux. Asidi inapopanda kutoka tumboni kwenda kwenye koo, inaweza kusababisha: ✔️ Koo kubana ✔️ Kukauka kwa koo ✔️ Maumivu au muwasho wa koo ✔️ Kukohoa mara kwa mara ✔️ Harufu mbaya mdomoni ✔️ Sauti kubadilika au kupotea mara kwa mara Ukiona hali hii inajirudia kila siku, usipuuzie mapema kabla haijawa kubwa zaidi. 📩 Unasumbuliwa na acid reflux au koo kubana? Nitumie ujumbe sasa upate ushauri wa nini cha kufanya.#jamila Digestive care #ACID_REFLUX #tonsilis #gas

Jamila Digestive care
Jamila Digestive care
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 10:33:41 GMT
241
7
1
1

Music

Download

Comments

sulqays
SulQays :
dawa vp
2026-05-14 10:54:20
1
To see more videos from user @jamila_digestivecare3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About