@drone_media_play: TAFAKURI YA LEO: JOGOO - JE UNAWIKA NA SAUTI YAKO INASIKIKA? DRONE Media inakuletea simulizi kuhusu jogoo anavyowika kila siku pasipo woga inayosimuliwa na Jacob Morris. Karibu tujifunze pamoja na tafadhali toa mchango na maoni yako (comment) , like na share kwa rafiki yako..... Upigaji picha, utengenezaji wa video, maandiko, na muziki ni nyenzo zenye nguvu za kuhifadhi tafiti, uhalisia wa kijamii, na matukio ya kihistoria kwa vizazi vijavyo. Je, una shauku ya kuandika na kunasa picha na sauti zenye maana? Ungependa kuhifadhi na kusimulia hadithi zenye umuhimu? DRONE Media ipo kwa ajili ya kukusaidia kugeuza shauku yako kuwa lengo lenye athari Chanya kwa jamii. Iwe ni kupiga picha za kuvutia, kurekodi video zenye ujumbe mzito, uandishi au kuhifadhi muziki na maudhui ya sauti โ€” tupo kwa ajili yako. ๐ŸŽฌ Tuachie tusimame nawe kusimulia hadithi inayostahili kukumbukwa. ๐Ÿ“ Tunapatikana kwa miradi, matukio, utayarishaji wa nyaraka za utafiti, na zaidi. DRONE Media โ€“ Jicho Lako Angani, Sauti Yako Ardhini. ๐ŸŽฅ RECORD & CAPTURE TODAY, PRESERVE TOMORROW: JOIN THE STORYTELLERS OF OUR TIME ๐Ÿ“ธ๐ŸŽถ Photography, videography, writings (literature) and music are powerful tools for preserving research, social realities, and historical moments for future generations. Are you passionate about literature and capturing meaningful visuals and sounds? Do you want to document stories that matter? DRONE Media is here to help you turn your passion into purpose. Whether it's taking stunning photos, filming impactful videos, literature review or archiving music and audio content โ€” we've got you covered. ๐ŸŽฌ Let us help you tell the story that deserves to be remembered. ๐Ÿ“ Available for projects, events, research documentation, and more. DRONE Media โ€“ Your Eye in the Sky, Your Voice on the Ground. DRONE Headquarters are located in Kikwe, Arusha Region, just off the East Africa Bypass Road. We reach you wherever you are! Phone: ๐Ÿ“ž +255 767 641 066 / +255 695 759 825 / +255 784 627 434 /+255 757 831 257 Email: [email protected] || P.O.Box 110 USA RIVER, ARUSHA - TANZANIA โ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆ ALSO โ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆ Please Follow us, Subscribe, Like, Share and Comment on: YouTube || Instagram || Facebook || Linked in || X @ drone_media_tz also drone_media_play โ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆ Photography, Documentary of Innovations, Music and Communication โ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆโ‰ˆ

drone_ media_ play
drone_ media_ play
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 11:02:43 GMT
2902
55
2
2

Music

Download

Comments

user93797392556378
Jฮ›KO :
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
2026-06-11 19:53:31
2
To see more videos from user @drone_media_play, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About