@christinahsanga: Kutoka 13:21-22 21 BWANA naye akawatangulia mchana ndani ya wingu mfano wa nguzo, ili awaongoze njia; na usiku, ndani ya moto mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru; wapate kusafiri mchana na usiku; Ile nguzo ya wingu haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku, mbele ya hao watu. Zaburi 118:7,14,29 7 BWANA yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa. 14 BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu. 29 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. Katika maisha ya mwanadamu kamwe huwezi shinda Wala kuvuka bila ya MUNGU Mara nyingi huwa tunajiuliza hapa nimevukaje? Ila ni YESU ndiye aliye tupa kushinda Mbarikiwe Sana NEEMA gospel choir kwa utunzi mzuri Sana MUNGU AKUBARIKI PIA MTUMISHI WA MUNGU PAULO CLEMENT namimi naungana nanyi kusema kwamba 🙌🙏🙌 BWANA NI NGUVU ZANGU UPANDE WA KULIA NA KUSHOTO NA MIMI BILA YA WEWE MUNGU WANGU SIWEZI 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙏 #tanzaniantiktok🇹🇿 #mbeya #tiktok #TAG @Neema Gospel Choir #paulclement🇹🇿
Tinah
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 13:52:32 GMT
Music
Download
Comments
0786368794 :
EMENI
2026-05-14 14:35:05
3
royceamani :
Wow is nice and AMEN 🙏🙌🙌
2026-05-23 17:53:42
2
Furaha Onesmo :
hakika bwana ni nguvu zangu
2026-08-15 19:04:17
1
Irene collection :
my song
2026-07-09 08:56:50
1
Celine store🦋 :
My song 🥰
2026-06-02 20:26:06
2
evemachenje :
amen 🙏🙏🙏
2026-07-23 21:47:57
1
Mir d’or vuo :
1:::
2026-07-30 10:10:40
0
user8191616928102 :
aminaaa
2026-05-14 23:52:29
1
craly🌻 :
Ila Paulo🙌
2026-07-21 08:34:21
0
jescajesca❤️❤️❤️ :
jaman jina la wimbo pls🥰🥰
2026-05-21 13:00:38
3
Rose JR :
ameni 🙏🙏🙏
2026-05-15 08:31:27
1
g :
ameer
2026-06-13 21:20:47
1
rehema❤️🔐 :
mimi bila wewe siwez mungu wangu
2026-07-01 19:50:35
1
ney💝 :
Ameen ameen ameen ameen mim bila siwezi mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
2026-05-25 06:17:22
1
Witness Mwitumba :
Ilikuw wap hii jmn
2026-06-21 14:01:16
1
user2117669341250 :
🙏🙏
2026-05-18 18:52:47
1
Neema Kiria :
🙌🙌🙌🙏
2026-05-15 20:44:13
1
Brian :
🥰🥰🥰
2026-06-01 10:20:45
1
Leah💕💕 :
🙏🙏🙏
2026-05-20 21:00:25
1
Cecy :
🥰🥰🥰
2026-05-29 20:06:22
1
Golden Heart❤️ :
🙏
2026-05-26 16:23:22
1
Glory Mwinjuma :
🥰🥰🥰
2026-05-14 14:24:19
2
@mwajy :
🥰🥰🥰
2026-05-15 06:09:56
2
~Ms alice🦋 :
😊🔥
2026-07-09 12:02:33
1
To see more videos from user @christinahsanga, please go to the Tikwm
homepage.