@karma.ai_: как за 2 дня сделать +30к к зп #удаленка #дизайн #рекомендации #ai #нейросеть #карточкатовара #it #озон #вб #fyp

Karma.ai
Karma.ai
Open In TikTok:
Region: BY
Thursday 14 May 2026 16:42:11 GMT
175
11
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @karma.ai_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

𝐔𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐔𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 - 𝐔𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐧𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢. . Uwekezaji wa Pamoja (Collective Investment Scheme ) ni uwekezaji ambapo watu wengi wanakusanya pesa zao pamoja, kisha wataalamu wanaziwekeza kwa niaba yao katika maeneo mbalimbali kama vile: 	•	Hisa za Soko la Hisa (DSE) 	•	Dhamana za Serikali (T-Bills & T-Bonds) 	•	Amana za Benki 	•	Mali Isiyohamishika (Real Estate) . 🔑 Wazo Kuu: Badala ya mtu mmoja kuwekeza peke yake na hatari kuwa kubwa, watu wengi wanashirikiana, hatari inagawanywa, na faida inashirikishwa. . Miongoni mwa faida za Uwekezaji wa Pamoja (Utt Amis) ni Kima cha chini cha Uwekezaji ambapo unaweza kuanza hata ukiwa na 10,000 tu kwa simu yako, Ni Uwekezaji salama sio rahisi kupoteza pesa zako kwa sababu kuna wataalamu wanawekeza kwa niaba yako na huitaji kuwa mtaalamu kuanza kuwekeza kwenye Mifuko ya Pamoja. . Tanzania kuna Mifuko mingi ya Uwekezaji wa Pamoja huku Taasisi ya Utt Amis ikiwa na Mifuko 6 ambayo ni Mfuko wa Umoja, Wekeza Maisha, Jikimu, Watoto, Mfuko wa Ukwasi na Hatifungani. . Pia kutoka Taasisi zingine kuna Mfuko wa Faida kutoka Watumishi Housing, Inuka kutoka Orbit Securities, Timiza kutoka Zan Securities na Mifuko ya i Trust ikiwemo i save, i incom, i growth, i dollar na mengine. . Sasa ili kuelewa Mifuko hii vizuri na kujua mfuko bora zaidi wa wewe kuwekeza utakao kupa faida kubwa kutokana na malengo yako, kipato chako na Umri basi Karibu kujiunga na Mafunzo yetu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa njia ya Mtandao wa WHATSAPP kuanzia Tar 20 hadi 24 mwezi wa 5, Gharama ya Mafunzo kwa siku zote 4 ni sh 35,000 tu na kama utajiunga kabla ya Tar 10 May basi utajiunga kwa 25,000 tu, Ofa hii ya 25k ni kwa watu 30 wa Mwanzo. . Popote ulipo Tanzania na Duniani unaweza kushiriki Mafunzo haya kwa njia ya Mtandao, Wahi Ofa kwa Kulipia kwenda Airtel Money - 0784862424, Jina Victor Mwambene, Kisha tujulishe kwa 0744126640. . @moneytalk_tz

About