@__davi1_:

Davi
Davi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 16:46:09 GMT
16452
1691
77
152

Music

Download

Comments

mick_628
Mick 24 🇹🇿 :
Wazungu warabu wametukosea sana
2026-06-01 19:40:48
25
gluckythegreat2
G LUCKYTHEGREAT1 :
wacha nimulize chat Gpt 😂😂
2026-06-06 17:43:13
10
user61447836202218
Lucian :
Huu ni ukweli mtupu kwa yeyote aliyewahi kuchimbua kuhusu hili, Barua hiyo nimeisoma mwaka 2011 na hapo ukawa mwisho wangu kwenda kanisani
2026-07-16 20:55:02
6
mwanaharakatimweusi12
Mwanaharakati mweusii :
jamaa utaenda peponi salute
2026-05-22 13:41:12
17
user66369279810904
mjmanjoe :
unaongea vzr,,tatizo ni kutokua na uthibitisho,,
2026-07-14 14:09:28
2
eddsoldado.123a
Eddo soldado :
mungu yupo ila kwa namna ujuavyo HIZI dini kuwa nazo makini
2026-06-17 19:48:37
8
chivany_
chivany🇨🇩🇨🇩 :
asante davi 👏👏👏
2026-06-17 19:42:18
3
mathias.mohamed8
Mathias Mohamed :
nawaambiaga Kila siku kaka🥲🥲
2026-07-02 10:16:48
3
prince.secrece
Prince Secrece :
Hii Barua niliipata mwaka Jana... Ilaaa ukweli huu... niliupata kwa Mwl. wa History... kwenye Biblia iliyoachwa na Waingereza .... So Dini Huwa sio vitu vyangu toka mda .. Ilaaa Mungu nimeamua kumfata katika njia nyingine... 💗💯
2026-07-19 10:43:52
4
new.brand.in.town
👁New Brand In Town🔥 :
HOTEP
2026-06-15 14:05:25
2
josephzacharia46
jey winningstone ♉️ :
sasa ulikuwepoooo
2026-07-09 19:19:19
2
wakakonko1
wakakonko1 :
iyo wakibisha mimi ntachoka et mmoja anasema amuulize chatgpt inamana anaamini sana inshu ya chatgpt ni mungu
2026-07-04 09:18:06
2
user6303363429247
Kadinalikatto :
Doooh,,! sasa nimekuta et mtu anasema aulize chat gpt, ina maana yy anaamin gpt imetoka kwa mung ama..??
2026-06-29 10:40:21
2
planet.mars8778
Ezechiel Kvro :
ina tiya uruma kwelii 🥺🥺🥺
2026-06-02 16:56:16
2
user12026995542602
fredy :
ila wewe jamaa nakukubali
2026-06-02 17:43:40
3
jullioscaver
Jullio Scaver :
oya noma sana🤣🤣🤣
2026-06-18 07:47:31
2
user1209214990226
cosmas leon :
Nakubali Sana
2026-05-22 09:10:25
2
user61447836202218
Lucian :
Sentence ya mwisho kwenye script imeandika “Happy are........ Because The kingdom of God is for them”
2026-07-16 20:45:44
3
jrrk58
JR RK🫵🫆 :
loe nime wakosoa wabongo live tikitok wamenichukia eti
2026-06-03 11:25:11
2
sokamilemdzagalindodi_
sokamilemdzagalindodi :
Hii ni ukweli
2026-06-17 18:20:50
1
heroderichardluta
HERODEtz :
Sijui Hawa watu walituona kama kitu gani
2026-06-19 06:57:02
1
masungadaniel751
Masunga Daniel :
nakubali 💯💯💯
2026-05-14 17:17:08
4
alkebulan127
Alke- Bulan🌍 :
mamayeee washenzi hao.
2026-05-23 07:20:24
1
mathayohepelwa
Fox9 :
legendary na hilo watabisha
2026-06-18 16:46:19
1
mawlidkilumba
mawlid :
hu ndio ukwel
2026-06-18 18:35:53
0
To see more videos from user @__davi1_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About