@azoretechtz: Usiulize tena password ya Wi-Fi! Ushawahi kukwama kuunganisha simu kisa password? Sio kesi tena! Tumia mbinu hii ya ncpa.cpl kuiona password yoyote kwenye PC yako ndani ya sekunde 10! (Watch till the end 👆) Ila ujanja wa kweli ni mashine tunayotumia: 🔥 HP Elitebook 1040 G5 ✅ Inazunguka 360° (Inakuwa Tablet) ✅ Touchscreen (14 inch) ✅ Spidi ya hatari: i5-8th Gen | 16GB RAM | 256GB SSD ✅ Keyboard inawaka taa & Fingerprint Scanner UKICHUKUA LEO UNAPATA HIZI BURE: 🎁 Carrybag + Wireless Mouse + 16GB Flash + Original Charger + Premium Perfume + Free Software! 💰 BEI: 1,049,900/= tu! USAFIRI: ✅ Dodoma & Dar: FREE Delivery! ✅ Mikoani: Tunatuma kote Tanzania kwa gharama nafuu. 📞 Call/WhatsApp: +255 752 240 034 NB: Azore Technologies ni wauzaji wa Laptops na huduma za tehama, Tanzania. Tunapatikana Dodoma, na huduma zetu hufika popote Tanzania. #azoretechtz #laptoptanzania #techhacks #hpelitebook1040g5 #laptopoffers
Na kama computer haijawa connected na wifi husika utaijuaje?
2026-05-24 09:17:01
7
BaluZ :
it's easy on phones...
2026-06-23 15:36:38
0
JOSEPH LADISLAUS :
ni mpka uwe connected.
2026-05-15 05:31:31
6
It’s elijah_mj :
Hiyo unaifanya kwa computer ambayo imesha connect
2026-05-30 05:35:29
4
Isaac :
We dada nimekukubali sana
2026-05-30 21:41:41
5
Joe Ghanaian :
Asante saana Azore nilikuwa sijuhi kabisa kutumia computer wala sijasomea Computer hila kwa sahizi nafanya kazi Company ya kutengeneza Application. zote nimejifunza kwako na kila siku naangalia Video zako.♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-05-14 19:35:53
1
monister rider :
je kwenye simu vp kwani
2026-06-24 16:28:19
0
macreaseishmael25 :
Sasa io computer ya kuingia ni yangu ama ya io kampuni
2026-06-23 19:26:40
0
luca tonyj :
je kwa kutmia simu
2026-05-23 10:28:47
3
Doctoralshaat1234 :
iyo until was connected as to success this technique
2026-05-19 17:44:20
2
mnyett :
thanks
2026-05-15 06:04:04
2
moh'd khalfan :
WiFi ndogo za Airtel mnazo?
2026-05-31 11:42:51
0
dioniz tigano :
elekeza na kutumia simu 😂🥰🥰
2026-05-27 17:03:35
2
Emily@ :
vp kwenye simu napo
2026-05-29 11:51:10
0
Kid rayan :
😪 wale wanangu bila wifi adopter huwez access password
2026-06-02 21:20:55
1
Chrix the CR5 :
je kwenye simu
2026-05-31 19:46:14
1
Victor ✊️ :
kwa Cm Unafanyeje Sis
2026-05-30 09:50:43
1
Victor Mgusi :
kwenye smartphone najuaje password ya wifi?
2026-05-29 19:09:29
1
Chubwa family :
simu
2026-06-22 21:44:50
0
wisegal :
umbea tuu
2026-06-22 12:57:08
0
isaka siria :
na kwenye simu je
2026-07-10 13:12:40
0
NACHA STUDIOS :
unajitahid sana but iyo Inafunction only if laptop ilishakuwa connected previously
2026-07-15 11:16:14
0
anna :
we dada yatakushinda
2026-06-28 21:02:12
0
danisilla8 :
kwa simu je
2026-07-07 07:04:31
1
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm
homepage.