Allahumma salli wa sallim ‘ala Sayyidina Muhammad salata ‘abdin ha’irin muhtaj, daqat bihi al-asbab wa insaddat duna-hu al-abwab, faltaaja ila bab al-Karim al-Wahhab, fafutihat lahu abwab al-faraj wal-lutf wal-rahmah, wa ‘ala alihi wa sahbihi ajma’in. Kwakiswahili: “Ewe Mwenyezi Mungu, mrehemu na mpe amani bwana wetu Muhammad, rehema ya mja aliyeshangaa na mwenye haja, ambaye sababu zimembana na milango ikafungwa mbele yake, akakimbilia kwenye mlango wa Mwingi wa ukarimu na Mtoaji sana, ndipo akafunguliwa milango ya faraja, upole na rehema. Na juu ya ahli zake na maswahaba zake wote.”
2026-05-15 20:16:21
77
heri ulamba :
mungu nipe mtaji aminiii
2026-05-17 15:23:45
9
🦋winn_b :
Mashaallah 🥰🥰
2026-07-24 10:16:26
2
Godfrey timz :
Mungu ni mwenye huruma 😊
2026-07-13 04:56:39
2
@Sabrina Yahya :
ALLAHU AKBAR 🙏🤲
2026-07-18 20:45:10
1
OSTADH IDDI :
nimeipenda hii shee walidi asante kwa codee😂
2026-05-22 21:47:51
7
big classic :
Mimi ni Mkristo ila nakufatilia sana masomo Yako yananibariki sana wewe ni mufti mkuu Mungu azidi kukubariki sana naskiliza mpaka natoa machozi
2026-07-19 10:34:58
1
user4075733263065 :
Allah akbar
2026-07-19 20:58:54
1
Issa Temba :
mashaallah me mungu naamini kwa uwezo wako utanitimiziya miongo mwa vipenz vyang
2026-05-16 09:20:46
12
Abuu Reelan :
hajanipa
2026-05-15 22:38:39
4
amney hijjab collection :
subhanallah
2026-05-15 20:29:11
8
user1951300241188 :
shekh ALLAH akulinde sanaa nakupenda kwa ajili ya ALLAH darsa zako zinanipa uongozi sana na moyoo
2026-05-20 14:04:18
3
Seif Alrawah :
hio swala ya mtume naomba niandikieni
2026-07-03 09:00:20
1
NASFRANCIS :
je shehe nikiomba kwa kiswahili maana sijasoma sana kuroanmaana atajunzu amma sikufika katikati naweza kuomba kwa kiswahili
2026-05-27 06:22:05
1
muslimah❤️ :
kaka mashaalla 🥰🥰🥰
2026-05-16 21:34:59
4
mg :
mashallah allah 🙏🙏
2026-05-16 04:21:23
5
didaibrah :
mashaAllah nakupenda mpk naumwa Allah Akuhifadhi
2026-05-26 21:22:20
2
zenahassan :
maashaallah
2026-05-15 21:21:36
4
Fighter mi2no :
Allhuma Ameen
2026-05-16 20:13:24
3
far :
Masha Allah
2026-05-16 12:19:31
3
ZIVARA FASHION :
ameni
2026-05-16 10:26:16
4
Katarina sesonga :
alhamdulila 😁🙏
2026-05-15 17:37:59
4
oumar Hassan :
اللهم صل على سيدنا محمد
2026-05-21 15:14:22
1
To see more videos from user @___motivation0, please go to the Tikwm
homepage.