@wepesitv: Daktari bingwa wa afya ya uzazi, Dkt. Matilida Ngarina, amesema wanaume wawili kati ya watatu wanaofika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya huduma ya IVF hukutwa na changamoto ya mbegu chache au zenye matatizo ya kimuundo. Hayo yamesemwa Katika mahojiano yaliyofanywa na gazeti la Mwananchi, Dkt. Ngarina amesema kwa wanaume changamoto ya Ubora wa Mbegu umeongezekana. 🎥 @mwananchi_official 👍 Like | 💬 Comment | 🔁 Share

WEPESI TV
WEPESI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 15 May 2026 10:55:48 GMT
64768
983
22
241

Music

Download

Comments

franciskarest
franciskarest :
Doktar upo wapiii
2026-05-16 11:03:48
2
user7229807153335
@ANNE :
Dr.Ngalina God bless you ulinizalisha mwanangu kijana sasa anakusalimu
2026-05-16 15:53:05
4
suvaiye
zzzzzzlly :
Dr naomba msaada niandae sh. ngapi?
2026-06-08 04:44:18
0
agnesstendwa
agnesstendwa :
Dr wangu wa nyakati zote barikiwa sana
2026-05-17 14:23:27
3
bernadetha.kivenu
Bernadetha Kivenule :
God bless you my Fav Dr Ngarina 🥰🥰
2026-05-17 18:49:47
2
wow123129
wow123 :
doctor tiba ni nini?
2026-06-06 11:43:04
0
tegemeamlelwa
tegemeamlelwa :
waooo dr wangu nimekumic kwa kweli
2026-05-17 13:35:01
2
elizabeth.makiya
Elizabeth Makiya :
doctor Ngarina muhimbili hospital, upo vizuri sana doctor. mungu awabariki madactari.
2026-05-18 04:50:02
1
bakari.kimaro
Bakari Kimaro :
asante Mungu kwa kunipa watoto 5 alhamdulilay kumbe kunawatu wanapambana sana 🤔🤔🤔aisee
2026-05-18 16:26:32
0
nankule.mohamed.m
Nankule mohamed Mkumba :
nambaaa
2026-05-17 18:55:51
0
melanine__0
Melanine__. :
Dr umenenepa hatari
2026-05-16 14:51:32
1
user3165862083145
user3165862083145 :
dr alinipotezea mtoto wangu
2026-05-17 12:38:36
0
user66873126678681
DACOURT :
unamstimulate kwa njia gani Dr?
2026-05-16 07:12:37
2
user7617324906688
user7617324906688 :
dr hongera saana kwa kazi ngumu hivi kuwastimert mnatumia nini?
2026-05-18 11:16:28
0
user8390370004006careen
Careen ally :
doctor Mimi niliharibu mimba mbili na nachukua muda kubeba, mwaka mzima natafuta mimba na nikibeba inatoka
2026-06-06 13:27:14
0
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About